image

Papai lililo iva ni salama kwa mama mjamzito au halifai

Papai ni moja kati ya matunda yenye vitamini C na virutubisho vinginevyo. Lakini papai pia ni moja kati ya vyakula ambavyo mjamzito anatakiwa awe makini navyo.

Swali 

Papai lililo  iva ni salama kwa mama mjamzito au halifai

 

Jibu

Papai lililowiva halina shida ila si vyema akalila kwa wingi.  Mjamzito anatakiwa ajiepushe na kula Malawi ambayo hayajawiva vyema.  Pia awe makini na ulaji wa mananasi pia ale kwa uchache. 

 

Vyakula vizuri kwa mjamzito: 

1. Matunda

2. Samaki

3. Mboga za majani

4. Maziwa

5. Mayai yaliyopikwa

 

Mjamzito anatakiwa ale vyakula vyenye virutubisho kwa wingi kwa ajili ya afya yake na ya mtoto. 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4435


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA TUNDA PERA
Pera ni tunda bora lakini pia ni dawa, tambua umuhimu wa tunda hili kiafya Soma Zaidi...

Madhara ya vyakula vya kisasa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka Soma Zaidi...

VYANZO VYA VYAKULA VYA MADINI NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mihogo
Soma Zaidi...

Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

UPUNGUFU WA PROTINI NA FATI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin B
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamin B Soma Zaidi...

Vyakula vya protini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya protini Soma Zaidi...

Namna ya kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba.
Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake. Soma Zaidi...

Vyakula kwa wenye matatizo ya macho
Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo wanapaswa kutumia watu wenye matatizo ya macho,ni vyakula ambavyo uhimalisha mishipa na sehemu nyingine za jicho na kufanya jicho lisiwe na matatizo kwa sababu tunajua wazi kuwa vyakula ni dawa. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass Soma Zaidi...