picha

Post hii inahusu zaidi umuhimu wa kondo la nyuma

Kondo la nyuma ni sehemu ya mwili wa mama anapokuwa mjamziti,kondo la nyuma husaidia katika kazi mbalimbali katika ukuaji wa mtoto.

Umuhimu wa kondo la nyuma kwa mtoto pale mama anapokuwa mjamzito.

1. Husaidia kusafirisha gas ya oxygen kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

2. Husaidia kusafirisha damu chafu ya corbondioxide kutoka kwa mtoto kwenda kwa mama.

3. Husaidia kusafirisha uchafu kutoka kwa mtoto kwenda kwa mama Kisha kutolewa nje kama uchafu mwingine.

4. Husaidia kuzuia wadudu na sumu kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ambavyo inaweza kuleta madhara

5. Husaidia pia kusafirisha vitamin na madini kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

 

Kwa ujumla kondo la nyuma Lina kazi kubwa katika makuzi ya mtoto akiwa tumboni mwa mama yake, kwa hiyo tunapaswa kumlinda mama akiwa na mimba kw kufanya yafuatayo,

1. Kuhakikisha mama amepata hewa Safi. 

2. Kumpatia chakula Cha kutosha

3. Kumpatia madini yabayohitajika.

4. Kuepuka a na kutumia vyakula vyenye sumu.

Kwa kufanya hayo tutaweza kufanya kondo la nyuma lifanye kazi yake vizuri.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views 2316

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 ai web app     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Dalili na sababu za Kukosa hedhi

Post hii inaongelea kuhusiana na Kukosa hedhi ambapo kitaalamu hujulikana Kama Amenorrhea ni kutokuwepo kwa hedhi - hedhi moja au zaidi ya kukosa. Wanawake ambao wamekosa angalau hedhi tatu mfululizo wana amenorrhea, kama vile wasichana ambao hawajaanz

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu fangasi za ukeni

Posti hii inahusu zaidi fangasi za ukeni, hili ni tatizo kubwa ambalo linawakumba watoto, akina dada na wanawake kwa hiyo na vizuri kujua Dalili zake na kuweza kuchukua hatua mapema.

Soma Zaidi...
Lazima matiti kuuma ka mimba changa?

Kuuma mwa matiti ni moka ya Ichiro kuwa huwenda ni ujauzito. Hii haimaanishi etindio mjamzito, zipo dalili nyingi za ujauzito. Hata hivyo kuona dalili za ujauzito haimaanishi umepata tayari ujauzito. Kwanza fanya vipimondipo Upate uhakika

Soma Zaidi...
siku za hatari

Hizi ni siku za hatari kupata ujauzito.Siku hizi ndio siku za kupata mimba kwa urahisi

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu wakati wa tendo la ndoa

Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii

Soma Zaidi...