picha

PYTHON - somo la 2: Sheria za uandishi wa pyhton yaani syntax za python

Katika somo hili utakwenda kujifunza syntaxy za python yaani sheria na kanuni za kuandika code za python

Kujuwa kanuni ni jambo la kwanza na la msngi zana kwa kila luga ya kikompyuta. Kanuni hizi zitakurahisishia hatua za ujifunzaji na utendeaji kazi wa language hiyo.

 

  1. KWENYE COMMENT

Kwanza tutajifunza kuweka comment. Comment ni hint ambazo programmer anaandika kwa lengo la kuelezea mstari wa code na kikundi cha code. Melezo haya huwa komyuta inayapuuza wakati wa ku run program. Yaani comment haikuhsiki katika utendaji kazi wa program.

 

Kwa ufui unaweza kusema commect ni maelekezo kwa ajili ya programmer lakini code ni maelekezo kwa ajili ya kompyuta.

 

Sasa kwenye python comment ya mstari mmoja utaiweka kwa kuanza na alama hii yaani alama ya reli kisha itafuata comment yako. 

Mfano

#print hutumika ku dislay text

print("haloo bongoclass")

 

Code hizi zitakupa matokeo haloo bongoclass na hayo maandikshi yaliofuata baada ya reli hayatahusika kwenye program yetu. Kwa kutumia njia hiyo unaweza ku comment mistari i ngi zaidi angalia mfano hapo chini

#print hutumika ku dislay text

#alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja

print("haloo bongoclass")

 

Sasa endapo unataka ku comment para graph nzima utatumia alama “””  au alama hizi ‘’’ hizo ni alama za funga semi. Angalia mfano hapo chini:-

"""print hutumika ku dislay text

alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja

print("haloo bongoclass")

"""

print("mafunzo ya python")

 

Hizo zitakupa matokeo mafunzo ya python na maandisi yote yalobaki ni comment hivyo kompyuta imeyapuuzia. Mfano huo ni sawa na huu hapa chini:-

'''print hutumika ku dislay text

alama ya reli hutumika ku comment mstari mmoja

print("haloo bongoclass")

'''

print("mafunzo ya python")

 

2. KWENYE KUACHA NAFASI (IDENTATION)

Identation ni ile nafasi inayoachwa mwanzoni mwa code. Sasa python haio kama lugha nyingine ambapo kikundi cha code hutofautishwa na ala ya } hivyo ili inatumia identation. 

 

Angalia code hizi 

Code hizo hapo hazina shida. Lakini endapo utawacha nafasi apo itakuelea error. Tofauti na lugha yingine kama php ambazo hazijali uwache nafasi ama usiwache. Jaribu ku run code hizo hapo chini

Hizo hapo hazitafanya kazi kwa sababuumewaca nafasi apo mwanzo. Utapata ident...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Python Main: Masomo File: Download PDF Views 1247

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 Dua za Mitume na Manabii     πŸ‘‰3 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰4 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰5 ai web app     πŸ‘‰6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Python somo la 24: Nini maana ya Object Oriented Programming

Hapa tunakwenda kujifunza kuhusu OOP ambapo ni miongoni mwa mitindo ya uandishi wa code

Soma Zaidi...
Python somo la 59: Kufanya Mahesabu (Aggregations) Katika Django

Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutumia Django ORM kufanya mahesabu mbalimbali kama Sum, Avg, Count, Max, Min, pamoja na kupunguza idadi ya items zinazoonekana kwenye dashboard (LIMIT). Pia tutajifunza namna ya kutengeneza β€œdifference” kati ya thamani kubwa na ndogo bila kubadilisha functions zozote ulizokwisha ziandika.

Soma Zaidi...
Python somo la 44: Data Manipulation katika Django Templates

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kucheza na data kuzibadili kwa namna mbali mbali kwenye template

Soma Zaidi...
Python somo la 39: Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View

Katika somo hili utakwenda kujifunza zaidi kuhusu Jinsi ya Kuongeza Kurasa Nyingine Katika Django View

Soma Zaidi...
PYTHON somo la 11: Matumizi ya comperison eperator katika python

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator. Hasa hapa tutakwend akujifunz akuhusu comparison operaor.

Soma Zaidi...
Python somo la 37: Jinsi ya ku install Django na kutengeneza project na app

Katika somo ili utajifunza hatuwa kwa hatuwa za ku install Django, kutengeneza project na kutengeneza app

Soma Zaidi...