NIna swali hapa
Nahtaji kujua dalili za Mama mjamzto kujifunguaNamba ya swali 031

Tafadhali bofy link hii hapo Bofya hapaNamba ya swali 031

Saw naomba nujue kingine vipi kwann kunakua n maumivu sana unahc kama kuvutwa au kuchomwa chin ya kitovu unahc kama unachomwa had unashindwa kutembea hio inasababshwa nanini?Namba ya swali 031

Una ujauzito?Namba ya swali 031

Ndio na natarajia kujifungua mwezi huuNamba ya swali 031

Hiyo ni kwa sababu ya misuli katika mji wa mimba inatanuka na kusinyaaNamba ya swali 031

Asante sana kwahyo hamna tatzo kwahyo ni kitu cha kawaida kujihc hivyo?Namba ya swali 031

Yes ila kama inatokea mara kwa mara kiasi cha kukukosesha amani vyema imuone daktariNamba ya swali 031

VP kunakua na mimaj ya rangi nyeupe inatoka kwa wing cjui sababu nnNamba ya swali 031

Kutoka maji si jambo la kushabgaa kwa mwenye ujauzito hasa karibu ba kujifingua. Kama yatakuwa na harufu mbaya na muwasho, maumivu makali sana ta tumbo kupita kiasi ama kichwa kupita kiasi ni vyema kumuina daktari....Namba ya swali 031

Sawa asante sanaNamba ya swali 031

Sina bando, kufungua hiyo link, naomba tu niambie japo kwa ufupi dalili za kukaribia kujifunguaNamba ya swali 031

Kutokwa na majimaji mengi ukeni Maumivu ya tumbo mara kwa mara Mtoto anashuka maeneo ya nyonga Njia ya kujifungulia kuachia zaidi na kuwa kubwa Uchofu mkali sana Viungo kama kulegea ama kuachia. Dalili ya uchungu wa kujifungua ni maumivu ya tumbo yanayojuwa makali kama dk 5 ama pungufu ya hapo kisha yanapoa kwa dakika kadhaa kama 30 ama pungufu kisha yanarudi tenaNamba ya swali 031