Swali langu ni hili dokta
Je siku sahihi yakufanya tendo la ndoa niipi ukipata siku zake za hatari?Namba ya swali 062

Siku hatari ya kupata ujauzito ina sifa hizi:-
1. Atakuwa na hamu sana ya kufanya tendo
2. Mwili wake utakuwa na joto jingi ila si homa.
3. Uke wake utakuwa na majimaji mengi

Itakuwa vyema kama utashiriki tendo landoa ndani ya siku hii ama siku moja kabla ama siku inayofata.Namba ya swali 062

Nimeelewa Daktari, asante. Nitashiriki vyema tendo siku hiyo:-Namba ya swali 062

Samahani mwanamke kupata maumivu makali chini ya kitovu wakati watendo la ndoa husababishwa nann?Namba ya swali 062

Inaweza kuwa:-
UTI
Maradhi ya Ovari
Ukavu ukeni
Shida ya homoni
Mkao uliotumika wakati wa tendo
urefu wa uume endapo mkao uliotumika sio mzuri.Namba ya swali 062

Kwa maelezo zaidi juu ya mada hii bofya hapaNamba ya swali 062

AsanteNamba ya swali 062

Karibu tenaNamba ya swali 062