RATIBA YA CHANJO YA KUZUIA KUHARISHA


image


Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha hii ni chanjo wanayopewa watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa lengo la kuzuia kuharisha chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa Rotarix.


Ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha.

1.Aina hii ya chanjo inazuia kuharisha kwa watoto na utolewa mara mbili na kwa vipindi tofauti tofauti  pia uweza kutunzwa kwenye temperature kuanzia mbili mpaka nane na ikizidi au kupungua itaweza kuleta madhara na kwa ujumla isitumike, chanjo hiyo utolewa kwenye kinywa  kwa miilis Moja nukta tano, na chanjo hii baada ya kutolewa uwa na madhara madogo madogo kama ifuatavyo.

 

2.Watoto wanaweza kukosa hamu ya kula,kuharisha na kutapika,joto la mwili kupanda na homa, maumivu ya tumbo na kuhisi uchovu wa mara kwa mara hasa kusinzia kwa mtoto na chanjo hii hapaswi kupewa mtoto mwenye mzio au aleji kwa hiyo hizo Dalili zikitokea na kuchukua mda zaidi ya masaa ishirini na manne mtoto anapaswa kupelekwa hospitalini ili kupata matibabu zaidi, ratiba ya chanjo ni kama ifuatavyo.

 

3.Chanjo ya kwanza unapaswa kutolewa kwenye wiki ya sita ambayo ni sawa na mwezi mmoja na wiki mbili, na kiasi ni sawa na mills moja nukta tano na pia utolewa kwa njia ya kinywa kwa hiyo ifikapo kila baada ya wiki sita walezi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto kupata chanjo.

 

4.Chanjo ya pili inapaswa kutolewa baada ya wiki kumi ambazo ni sawa na miezi miwili na wiki mbili kwa hiyo ifikapo mda huu mama na walezi wanapaswa kutimiza wajibu wao wa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo na kiasi ni kile kile cha kwenye chanjo ya kwanza na daima upitishwa kwenye kinywa.

 

5. Kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka watoto kupata chanjo hii kwa sababu ina maana sana kwenye maisha ya watoto mbali tunajua wazi kuharisha kwa watoto ni hatari na upelekea maji kuisha mwilini na hatimaye mtoto anaweza kupata madhara makubwa zaidi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

image Sababu za maumivu ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi sababu za uti wa mgongo, ni ugonjwa unaotokana na kuwa na maumivu kwenye uti wa mgongo, hasa hasa ugonjwa huu ushambulia watu kuanzia miaka ishilini mpaka kwenye arobaini hivi, zifuatazo ni sababu za maumivu katika uti wa mgongo. Soma Zaidi...

image Huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula sumu
Post hii inahusu zaidi kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula chakula chenye sumu, kula sumu ni kitendo Cha kula kitu chochote kama dawa,pombe, kemikali na chakula kichafu. Soma Zaidi...

image Sababu za Kukoma hedhi (perimenopause)
Kukoma hedhi hufafanuliwa kuwa hutokea miezi 12 baada ya kipindi chako cha mwisho cha hedhi na huashiria mwisho wa mizunguko ya hedhi. Kukoma hedhi kunaweza kutokea katika miaka ya 40 au 50. Kukoma hedhi ni mchakato wa asili wa kibaolojia. Ingawa pia inamaliza uzazi, unaweza kuwa na afya, muhimu na ngono. Wanawake wengine huhisi utulivu kwa sababu hawahitaji tena kuwa na wasiwasi kuhusu ujauzito. Soma Zaidi...

image Zijue kazi za ini
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya Soma Zaidi...

image Dalili za anemia ya upungufu wa vitamin.
Anemia ya upungufu wa vitamini ni ukosefu wa seli nyekundu za damu zenye afya unaosababishwa na kiasi kidogo cha vitamini fulani kuliko kawaida. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri.
Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster Soma Zaidi...

image Athari za ugonjwa wa Dondakoo
Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna matokea hasi ambayo yanaweza kujitokeza kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Njia za kuzuia upele
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuzuia upele, ni njia ambazo utumiwa Ili kupunguza tatizo la upele kwenye jamii, kwa hiyo jamii inapaswa kutumia njia hizi Ili kuweza kupambana na ugonjwa huu ambao unatibika. Soma Zaidi...

image Mambo yanayosababisha kuharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu Soma Zaidi...