Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia.
1.Tunajua wazi Ugonjwa wa Nimonia ni ugonjwa unaowashambulia sana watoto ingawa kwa mara nyingine uwapata na watu wazima kwa hiyo ili kuweza kuepuka na ugonjwa huu chanjo maalumu ya kuzuia ugonjwa huu imetolewa ambayo inapatwa na watoto wadogo kwa vipindi mbalimbali kama ifuatavyo.
2.Chanjo ya kwanza ya kuzuia ugonjwa wa upumuaji utolewa baada ya miezi sita ya mwanzoni kwa watoto ambao wamezaliwa na utolewa kwa kupitia paja la kulia na kiasi ambacho utolewa ni mills moja na nukta tano, kwa hiyo wakina mama na walezi wa watoto wanapaswa kuwapeleka watoto ili kupata chanjo.
3.Chanjo ya pili utolewa wiki ya Kumi baada ya kuzaliwa ambayo ni sawa sawa na miezi miwili na wiki mbili kwa hiyo Mama anapaswa kujua wazi na kumleta mtoto wake ili aweze kupata hiyo chanjo, na kiasi ambacho linatolewa na kile kila kilichotolewa kwenye chanjo ya mwanzoni ambacho ni sifuri nukta tano.
4.Chanjo ya tatu na ya mwisho utolewa baada ya wiki kumi na nne ambazo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili kwa hiyo kama kawaida Mama na walezi wanapaswa kumpeleka mtoto ili akapatiwe chanjo .
5.Kwa hiyo tunaona umuhimu wa chanjo ya kuzuia magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka watoto ili kupata chanjo. Na kwa upande wa makabila ambayo yanapingana na matumizi ya chanjo wanapaswa kuelimishwa na kujua waziatumizi ya chanjo hii na kazi yake.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1022
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 kitabu cha Simulizi
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Madrasa kiganjani
👉6 Kitabu cha Afya
Kwanini mbu hawezi kuambukiza ukimwi
Somo Hili linakwenda kukueleza sababu za kwanini mbu hawezi kuambukiza ukimwi Soma Zaidi...
Hatari ya uzito mkubwa
Posti hii inahusu zaidi hatari zilizopo kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na pia unene usio wa kawaida usababisha mtu kuwa na matatizo mbalimbali hasa saratani za kila sehemu kama tutakavyoona. Soma Zaidi...
Kuboresha afya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu vitamini D na kazi zake mwilini
Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D. Soma Zaidi...
Kazi ya madini mwilini
Posti hii inakwenda kukueleza kuhusu kazi za madini mwilini Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Soma Zaidi...
Madhara ya kutotibu Ugonjwa wa homa ya utu wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu homa ya uti wa mgongo, kwa kuwa ugonjwa huu mara nyingi uathiri sehemu za kwenye ubongo kuna madhara ambayo yanaweza kutokea endapo Ugonjwa huu haujatibiwa mapema. Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIKAZWA NA MISULI
Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi. Soma Zaidi...
Jinsi moyo unavyosukuma damu
Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua Soma Zaidi...
Mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu.
Posti hii inahusu zaidi mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu, tunajua kubwa kifua kikuu ni Ugonjwa ambao utumia mda mrefu kidogo katika matibabu kwa hiyo mgawanyiko wake uko kwenye sehemu mbili muhimu kama tutajavyoona Soma Zaidi...
Uvutaji wa sigara
Somo Hili linakwenda me kuhusu madhara ya uvutaji wa sigara Soma Zaidi...