Ratiba ya chanjo ya Pentavalenti
Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Ratiba ya chanjo ya Pentavalent.
1.Tunajua kabisa kwamba chanjo hii inaweza kutibu Magonjwa matano na chanjo hii imeunganishwa na ufanya kazi kwa pamoja. Pentavalent maana yake ni tano, kwa hiyo hii chanjo utolewa mara tatu yaani kwa vipindi maalumu kwa hiyo walezi na wazazi wa watoto wachanga wanapaswa kujua wazi mda ambao wanapaswa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo kama ifuatavyo.
2.Chanjo ya kwanza utolewa kwenye wiki ya sita baada ya mtoto kuzaliwa, kiasi kinachotolewa ni milia Sifuri nuka tano na sindano hii utolewa kwenye paja la kushoto kwa hiyo kila mtoto akifikisha wiki sita ambazo ni sawa na mwezi mmoja na wiki mbili anapaswa kuja kwenye kituo cha afya kupata chanjo.
3.Chanjo ya pili utolewa kwenye wiki ya Kumi ambayo ni sawa na miezi miwili na wiki mbili, kwa hiyo Walezi na wazazi wakumbushane mara kwa mara kuhusu kumrudisha mtoto ili apatiwe chanjo kwa hiyo kiwango anachopewa ni kama kile kwenye chanjo ya kwanza na sehemu ni ile ile ya kwenye paja la kushoto.
4.Chanjo Ya nne utolewa baada ya wiki kumi nne Bayo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili kwa hiyo mtoto upewa kiasi kile kile kama alichopewa kwenye chanjo ya kwanza na ya pili kwa hiyo wazazi na walezi wote wanapaswa kukumbuka kuweza kuwapeleka watoto ili waweze kumalizia chanjo.
5.Kw hiyo tunaona wazi umuhimu wa chanjo hiyo ya Pentavalent kwa sababu inatibu Magonjwa mengi sana kwa hiyo wale walio na imani kuhusu chanjo wanapaswa kuelewa umuhimu wa chanjo ili kuzuia kuwepo kwa magonjwa yanayozuiwa kwa chanjo kwa hiyo pia walezi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao kliniki ili wapate chanjo kwa hiyo wanapaswa kuachana na uzembe usiokuwa na maana na kusababisha Magonjwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno
Soma Zaidi...Faida za damu kwenye mwili
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa damu mwilini, Damu ni tisu pekee yenye majimaji ambayo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Faida za tumbo katika mwili wa binadamu
Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIKAZWA NA MISULI
Kukaza kwa misuli lunaweza kutokea muda wowote ila mara nyingi hutokea pindi mtu anapofanya mazoezi, amnapoogelea ama anapofanya kazi.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu kazi za ini.
Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...