image

Ratiba ya chanjo ya polio

Posti hii inahusu zaidi namna chanjo ya polio inavyotolewa na ratiba zake yaani kuanzia siku ya kwanza mpaka pale mtoto anapomaliza chanjo hii kwa hiyo tuone ratiba ya chanjo ya polio.

Ratiba ya chanjo ya polio.

1.Kwanza kabisa tunajua kuwa hii chanjo utolewa kwa watoto wadogo kwa vipindi mbalimbali kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya, chanjo hii utolewa kwa watoto tu na njia inayotumika ni kupitia kinywani kwa njia ya matone kwa hiyo chanjo hii utolewa kwa vipindi maalumu kama ifuatavyo.

 

2.Kipindi cha kwanza ni pale mtoto anapozaliwa anapaswa kupata chanjo hii kwa njia ya matone mawili kupitia mdomoni ,chanjo hii huwa katika vichupa viwili kichupa  cha kwanza huwa na Poda na kichupa cha pili kina maji ya kuchanganya na chupa hizi mbili zinapaswa kutoka kwenye kiwanda kimoja kama ni viwanda tofauti upaswi kuzitumia.

 

3.Chanjo ya pili Mtoto ana paswa kupewa baada ya wiki sita ambapo ni sawa na mwezi mmoja na wiki mbili kwa hiyo mama anapaswa kubwa siku ya kumrudisha mtoto kupata chanjo na kwenye hili udhurio Mtoto ataendelea kupata matone mawili kama kawaida na baadae ndio yataweza kubadilika.

 

4.Chanjo ya tatu mtoto anapaswa kuipata baada ya wiki kumi ambazo ni sawa sawa na miezi miwili na wiki mbili kwa hiyo mama anapaswa kuandikiwa nyuma ya kadi yake siku ya kumrudisha mtoto ili apatiwe chanjo kwa hiyo Mama ataleta mtoto waka na kwa mda huu atapata matone mawili mdomoni na atarudi kwenye wiki ya Kumi na nne kwa ajili ya kumalizia chanjo.

 

5.Chanjo ya nne mtoto akarudishwa kwenye wiki ya Kumi na nne ambayo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili mtoto atapewa chanjo kwenye paja la la Kushoto kiasi cha moja nukta tano millis kwenye mguu wa kushoto , kwa hiyo mtoto akichukua chanzo zote anakuwa amekamilisha chanjo na ni vigumu kupata Ugonjwa wa kupooza .

 

6.Kwa hiyo jamii nzima inapaswa kujua umuhimu wa chanjo ya polio ili kuweza kuokoa maisha ya watoto na kwa wale wanaokuwa wazembe kuwapeleka watoto wao kwenye chanjo wanapaswa kuchukuliwa hatua ili waweze kuokoa maisha ya watoto na kuondokana na kuwatunza watu wenye ulemavu na kupunguza pato la taifa kwa hiyo tunapaswa kuwa makini na kuhakikisha kubwa watoto wanapata chanjo ya polio na elimu itolewe kwenye jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 922


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Upungufu wa protin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini Soma Zaidi...

Namna ya kuyatunza macho
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na minyoo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo Soma Zaidi...

binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?
Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani? Soma Zaidi...

Mkojo wa kawaida
Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...

Je unaweza ukapona macho kama huoni vizuri kwa sababu ya vitamini A,
Jiamini A ni katika vitamini inayojulikana sana kuboresha na kuimarisha afya vya macho na uoni. Tafiti zinaonyesha kuwa kuna kundi kubwa la watoto wanaopata tayizobla kutokuona kutokana na ukosefu wa vitamini A vya kutosha. Soma Zaidi...

Kiasi Cha mkojo kisichokuwa cha kawaida.
Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi. Soma Zaidi...

Ijue rangi ya mkojo isiyo ya kawaida
Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi zifuatazo Kuna shida kwenye mkojo. Soma Zaidi...

Malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele.
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kumsafisha mgonjwa nywele zake, ni sababu ambazo upelekea kumsafisha mgonjwa nywele kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...

Namna ya kusaidia vijana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo , Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na presha ya kushuka
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kushuka Soma Zaidi...

tamaa
33. Soma Zaidi...