image

Sababu ya maumivu ya magoti.

Posti hii inahusu zaidi sababu za maumivu ambayo yanasikika kwenye magoti, huu ni ugonjwa ambao umewapata walio wengi na bado ni kilio kwa walio wengi kwa vijana na kwa wazee, Kuna wataalamu mbalimbali ambao wameweza kugundua sababu za maumivu kwenye mago

Sababu ya maumivu kwenye magoti.

1.  Kuwepo kwa uzito mkubwa.

Uzito kwa kawaida inabidi kulingana na urefu ila uzito ukiwa mkubwa usababisha magoti kuelemewa kwa sababu ya Uzito kuwa mkubwa na kuanza tatizo la kuwepo kwa magonjwa ya goti.

 

2. Kuumia kwenye viungo.

Kuna wakati mwingine kunakuwepo na maumivu kwenye viungo ambayo uambatana na kuumia kwa magoti, kuumia kwa viungo inaweza kuwa ni ajali mbalimbali ambazo usababisha maumivu kwenye magoti.

 

3. Kuvimba kwa magoti.

Kuna wakati mwingine magoti yanavimba yenyewe bila kuwepo kwa ajali au unene hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye magoti kwa hiyo maambukizi hayo usababisha magoti kuwa na maumivu kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi.

 

4. Pengine maumivu ya magoti ni kwa sababu ya kuridhi.

Kuna magonjwa mengine utokea kwa sababu ya kuridhi ikitokea kwenye family Kuna ugonjwa wa hivi utaikuta familia Kuna watoto chini ya miaka arobaini wanaanza kuugua ugonjwa wa magoti.

 

5. Mazoezi makali.

Kuna wakati mwingine wale wanaofanya mazoezi makali usababisha kutenguka kwa viungo hasa hasa kwenye magoti pengine magoti yanaweza kupona mapema na wengine uchukua mda huu mrefu kupona .

 

 

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1669


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Ninashida Kuna mtu anaumwa pressure Kila anap pima Iko juu il mwil aumuumi at kidg n dawa anatumia unawez kunisaidiaj
Kama unasumbuliwa na presha post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakuoatia ushauri kutokana na swali alilouliza mdau wetu. Soma Zaidi...

Dalili za macho makavu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Mambo yanayosababisha kiuno au mgongo kuwa na maumivu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kusababishwa mgongo wAko au kiuno kwa na maumivu, Mgongo ukiwa na maumivu makali Sana yanaweza kusababishwa shida kubwa ata utakapokaa au ukilala au ukitumia bado maumivu yanakuwepo. Soma Zaidi...

Dalilili zinazotokea kwenye mrija wa mkojo
Mrija wa mkojo hutoa mkojo nje ya mwili lakini mrija huu unapoziba hufanya utoaji wa mkojo kutoka kwa shida au maumivu Soma Zaidi...

Njia za kuzuia uwepo wa ugonjwa wa Bawasili.
Posti hii inahusu zaidi njia au mbinu ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuepuka kuwepo kwa ugonjwa wa Bawasili kwenye jamii, hizi ni njia za awali za kupambana na kuwepo kwa Ugonjwa wa Bawasili. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa degedege na dalili zake
Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo Soma Zaidi...

Dalili za Ugonjwa wa ini
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa inni, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye ugonjwa wa inni, Dalili zenyewe ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

FIKRA POTOFU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
Soma Zaidi...

Dalili za Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (uterine fibroid)
Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi hukua kutoka kwenye tishu laini za misuli ya uterasi. Fibroids nyingi ambazo zimekuwepo wakati wa ujauzito hupungua au kutoweka baada ya ujauzito, kwani uterasi inarudi kwenye ukubwa wa kawaida. Soma Zaidi...

Namna ya kugundua mtu mwenye kaswende.
Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali. Soma Zaidi...

Namna Maambukizi kwenye milija na ovari yanavyotokea
Post hii inahusu zaidi namna Maambukizi kwenye milija na ovari ambayo yanatokea,Mara nyingi usababisha na bakteria wanaoweza kuingia kupitia sehemu mbalimbali. Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye figo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako. Soma Zaidi...