image

Sababu za kumwosha Mgonjwa mwili mzima.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kumwosha Mgonjwa mwili mzima,ni sababu ambazo umsaidie mgonjwa ili aweze kupata nafuu mapema na kumsaidia kama tutakavyoona hapo chini

Sababu za kumwosha Mgonjwa mwili mzima.

1. Kumweka mgonjwa kwenye hali ya usafi na kumfanya ajisikie vizuri wakati akiwa kitandani na wakati Watu wanakuja kumwona.

 

2. Kuzuia maupele kwenye ngozi na kuufanya mwili uwe huru na kuzuia magonjwahiyo mbalimbali yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya uchafu kwenye ngozi ya mgonjwa.

 

3. Kusaidia mzunguko wa damu uenda vizuri kwa sababu kama kuna uchafu umegandamana kwenye ngozi ni vigumu kwa damu kuweza kusafiri vizuri.

 

4. Kushusha joto la mwili kama liko juu ni kawaida kama joto la mwili liko juu ukioga kwa maji ya uvugu vugu joto la mwili linashuka kwa kiasi.

 

5. Kuzuia bakteria na wadudu wengine kama vile chawa za kwenye nguo ambazo uja kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kwa kufanya usafi wa mwili mzima mara kwa mara wadudu hao hawawezi kuonekana tena.

 

6. Kumfanya mgonjwa aweze kujisikia vizuri na anaweza kuonekana vizuri pia kumfanya mgonjwa awe na usingizi kwa sababu uchafu umekosesha mgonjwa usingizi akioga tu anaweza kusinzia vizuri.

 

7. Kwa hiyo na jamii nzima inapaswa kujua kuwa wagonjwa wetu wanapaswa kuwa wasafi mda wote kwa sababu ukimfanyia mgonjwa usafi unamsaidia kupona kwa hiyo wagonjwa wetu walioko majumbani na mahospitali hasa hasa wale ambao hawawezi kujifanyia kitu tuwaoshe kwa kufanya hivyo tunawatia matumaini na wataweza kupata nafuu.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1001


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Nini husababisha kizunguzungu?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu. Soma Zaidi...

Jinsi moyo unavyosukuma damu
Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa aliye ungua na Moto.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto. Soma Zaidi...

Namna ya kuyatunza macho
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho Soma Zaidi...

Mfuno wa damu na makundi manne ya damu na asili yake nani anayepasa kutoa damu?
Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu. Soma Zaidi...

Maana ya afya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya afya Soma Zaidi...

Umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya ukimwi, ni faida ambazo upatikana kwa watu wanaodhani wameambukizwa na virus vya ukimwi na kuweza kujikinga. Soma Zaidi...

Faida za kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Aina za vidonda
Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti. Soma Zaidi...

Upungufu wa vyakula na madhara yake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula Soma Zaidi...

Maumivu ya kifua yanayosababishwa na kupungua kwa mtiririko wa Damu kwenye moyo.
 Maumivu ya kifua yanayosababishwa na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo, kitaalamu huitwa Angina ni dalili ya Ugonjwa wa ateri ya Coronary. Ugonjwa huu kawaida hufafanuliwa kama kufinya, shinikizo, uzito, kubana au maumivu kwenye Soma Zaidi...

Maji
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini Soma Zaidi...