image

Sababu za kushuka kwa surat al qariah

Surat Al qariah, ni moja katika sura zilizochuka miaka ya mwanzoni mwa utume.

Wanazuoni wa Tafsiri hawakupata nukuu juu ya sababu iliyopelekea kushuka kwa sura hii. 

 

Sura hii imeteremka Makkah na ni katika sura za mwanzoni kushuka. Katika mpangilio wa Quran ipo katika juzuu ya 30 katikati mwa surat al adiyah na surat at Takaathur.

 

Surat al qariah ina aya 11, maneno 36 na herufi 158. Mtindo wa mwanzo wa sura hii inafanana na surat al haqqah. Na sura zote zimeanza kuzungumzia kiyama. 

 

Aya ya kwanza hadi ya tani zinazungumzia kuhusu kiama, na kuwa watu watafufuliwa na kutawanyika kama nzige. Na majabali na milima haitokuwepo tena. 

 

Aya ya 6 hadi ya 9 inazungumzia kuhusu matendo,  na kuwa matendo yote yatapinwa kwenye mizani. Kipimo cha matendo mema kikiwa kizito zaidi basi mtu ataingia peponi. Na kikiwa cha na tendo mabovu ni kizito zaidi mtu ataingizwa motoni. 

 

Aya ya 10 na 11 zinazungumzia kuhusu huo moto wa hawiyah. Hili ni moja ya tabaka za moto wa jahannam. 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1848


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Ni nini maana ya id-gham katika hukumu za tajwid
Hapa utajifunza kuhusu maana ya id-ghamu na aina zake. Soma Zaidi...

Sababu za kushukasurat an Nasr
Sura hii ni katika sura za mwisho kushuka, huwendakuwa ndio ya mwisho kabisa. Masahaba waliamini kuwa sura hii imetabiri kifo cha Mtume S.A.W Soma Zaidi...

Sifa za waumini katika quran
Soma Zaidi...

Aina za Madda twabiy kwenye usomaji wa Quran
Madda zimegawanyika katika maeneo makuu mawili ambayo ni madda twabiy na madda fariy Soma Zaidi...

Mtume Muhammad hakujuwa kusoma wala kuandika ni hoja na kuna hekima zake
(i)Mtume Muhammad (s. Soma Zaidi...

Sababu za kushuka surat Al-Kawthar
Sura hii ni miongoni mwa Sura fupi sanya huwenda ndiosura yenye aya chache kuliko sura zote katika Quran. Soma Zaidi...

ASBAB-NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN
ASBAB NUZUL SABABU ZA KUSHUKA AYA NA SURA KWENYE QURAN Quran imeteremka kwa muda wa miaka 23 kidogokido. Soma Zaidi...

Quran Tafsiri kwa Kiswahili
Tafsiri ya quran kw akiswahili, imeandikw ana Shekh Ali Muhsin al-Barwani Soma Zaidi...

Nini maana ya Quran
Post hii inakwenda kukuambia maana ya Quran Soma Zaidi...

Quran si njozi za mvurugano alizoota Mtume Muhammad
(ii)Dai kuwa Qur-an ni zao la njozi za Mtume (s. Soma Zaidi...

DARSA ZA QURAN
Soma Zaidi...

quran na sayansi
QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh. Soma Zaidi...