Sababu za kushuka kwa surat Dhuha

Sura hii imetermka Makkah na ina aya 11. Sura hii ni moja ya sura ambazo zimeshuka mwanzoni wakati ambapo Mtume ameanza kazi ya utume.

Surat Dhuha ni sura iliyoshuka Makkah siku za mwanzoni za kulingana Ummah.  Sura hii imekuja kuwa kama faraja kwa Mtume kuwa kutokana na yale yaliyokuwa yakitokea kama changamoto za kulingania dini. 

 

Sura hii ilishuka wakati ambao wahay ulisimama. Hivyo iliposhuka sura hii Mtume s.sa. w alifurahi sana. Kwani makafiri walikuwa wakimwambia Mtume kuwa amekasirikiwa na Mola wake. 

 

Sura hii na sifa inayofuatwa zinampa daraja Mtume na kumuimarisha katika kazi ya kukibgania dini ya Allah. 

 

Sura hii pia imetaja baadhi ya neema ambazo Allah amrmpatia Mtume wake.  Kisha okampa fundisho kuwa asimkemee wala kumkasirikia yatima ama mtu mwenye kuomba. Mwisho sura ikamtaka Mtume s.sa. w awe anahadithia neema alizopewa na Allah. 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/09/09/Friday - 08:28:16 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 720


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Sababu za kushuka kwa surat Dhuha
Sura hii imetermka Makkah na ina aya 11. Sura hii ni moja ya sura ambazo zimeshuka mwanzoni wakati ambapo Mtume ameanza kazi ya utume. Soma Zaidi...