Sura hii ni miongoni mwa Sura fupi sanya huwenda ndiosura yenye aya chache kuliko sura zote katika Quran.
SURATUL-KAUTHAR
Imeteremshwa maka, na sura hii imeshuka kwa sababu al-aAs ibn Waail. Siku mija Mtume (s.a.w) alikuwa anatoka msikitini na akakutana na al-aAs ibn Waail na wakawa wanazungumzwa.
Basi walipoachana Al-aAs alipokuwa anaingia msikitini wakamuuliza Maquraish ulikuwa unazungumza na nani, akajibu nilikuwa nazungumza na mtu aliyekatikiwa na kizazi.
Yaani Mtume alifiwa na mtoto wake Abdullah ambaye ndiye mtoto wake wa kiume hivyo hakuna tena wa kumrithi na kuendeleza kizazi chake kwa imani kuwa kizazi kinaendelea kwa watoto wa kiume.
Na katika mapokezi mengine al-aAs alisema kuwa atakapokufa mtume hakuna mtu atakayemkumbuka maana hatakuwa na kizazi tena. Hivyo Allah ndipo akashusha sura hii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.
Soma Zaidi...(ii)Dai kuwa Qur-an ni zao la njozi za Mtume (s.
Soma Zaidi...Kuwa na tamaa huhitaji vitu vya watu si jambo jema. Ila kama tamaa hii itakuhamasisha na wewe kutafuta kitu hicho, kwa uwezo ambao Allah amekupa bila ha kuvuka mipaka yake, hili sio tatizo. Sura hii itakufundisha mengi
Soma Zaidi...DARSA ZA TAJWID YALIYOMOSURA YA 01 .
Soma Zaidi...