Asbab nuzul surat al qadi. Hii ni sura ya 97 katika mpangilio wa mashaf. Surat al qadir imeteremshwa Madina na ina aya 5.
Kwa kauli ya Jamhuri sura hii imeshuka Madina. Zipo baadhi ya kauli kuwa ni ya Madina.
وَذَكَرَ Ø§Ù„Ù’ÙˆÙŽØ§Ù‚ÙØ¯ÙŽÙŠÙ‘٠أَنَّهَا أَوَّل٠سÙورَة٠نَزَلَتْ Ø¨ÙØ§Ù„ْمَدÙينَةÙ. ÙˆÙŽÙ‡ÙÙŠÙŽ خَمْس٠آيَاتÙ.
Na katika kauli nyingine ni kuwa hii ndio sura ya kwanza kushuka Madina. Angalia tafsir al qurtub.
Asbab nuzuli - sababu zakushuka
عَنْ Ù…ÙØ¬ÙŽØ§Ù‡Ùد٠قَالَ : ذَكَرَ النَّبÙيّ٠صَلَّى اللَّه٠عَلَيْه٠وَسَلَّمَ رَجÙلًا Ù…Ùنْ بَنÙÙŠ Ø¥ÙØ³Ù’رَائÙيلَ Ù„ÙŽØ¨ÙØ³ÙŽ Ø§Ù„Ø³Ù‘ÙلَاØÙŽ ÙÙÙŠ سَبÙيل٠اللَّه٠أَلْÙÙŽ شَهْر٠، Ùَتَعَجَّبَ Ø§Ù„Ù’Ù…ÙØ³Ù’Ù„ÙÙ…Ùونَ Ù…Ùنْ ذَلÙÙƒÙŽ ØŒ Ùَأَنْزَلَ اللَّه٠تَعَالَى : ï´¿Ø¥Ùنَّا أَنزَلْنَاه٠ÙÙÙŠ لَيْلَة٠الْقَدْر٠[1] وَمَا أَدْرَاكَ مَا لَيْلَة٠الْقَدْر٠[2] لَيْلَة٠الْقَدْر٠خَيْرٌ مّÙنْ أَلْÙ٠شَهْرÙï´¾ . قَالَ : " خَيْرٌ Ù…ÙÙ†ÙŽ الَّتÙÙŠ Ù„ÙŽØ¨ÙØ³ÙŽ ÙÙيهَا السّÙلَاØÙŽ Ø°ÙŽÙ„ÙÙƒÙŽ الرَّجÙÙ„Ù " .
Amesema Mujahid kuwa Mtume s.a.w alimtaja Mtu mmoja katika wana wa Israel kuwa alivaa silaha za vita kwa ajili ya njia ya Allah (kupigana jihadi) kwa muda wa miaka elfu moja. Basi Waislamu (Masahaba) walistaajabu sana na habari hii basi hapo Allah akishika sura hii ï´¿Ø¥Ùنَّا أَنزَلْنَاه٠ÙÙÙŠ لَيْلَة٠الْقَدْر٠[1] وَمَا أَدْرَاكَ مَا لَيْلَة٠الْقَدْر٠[2] لَيْلَة٠الْقَدْر٠خَيْرٌ مّÙنْ أَلْÙ٠شَهْرÙ
Akasema Mtume "Ni bora kuliko yule mtu aliyevaa vazivla vita (kwa miaka elfu).
Usiku wa laylat al qadir
Usiku wa heshima. Katika sura 2:186 imesemwa ya kuwa Qur'an ilishuka katika mwezi wa Ramadhani. na katika sura hii inasemwa ya kuwa iliposhuka ilishuka katika usiku unaoitwa Lailat al-Qadir, yaani usiku wenye heshima. Sio mradi wake kuwa Qur'an yote ilishuka katika mwezi mmoja au usiku ule mmoja, bali mwanzo wa kushuka ilikuwa ni katika usiku wa Qadr wa mwezi wa Ramadhani na ikaendelea kushuka kwa miaka 23.
Siku moja Mtume aliambiwa na Mwenyezi Mungu usiku huu ni tarehe gani ya mwezi wa
Ramadhani. Alipokuwa akitoka ili kuwapa watu habari akakuta watu wanagombana na akaingia
kuwaamua. Katika kuamua, tarehe ile akaisahau, lakini akasema watu wanaweza kuitafuta Lailat
al-Qadr katika tarehe 21 au 23 au 25 au 27 au 29 ya mwezi wa Ramadhani (Bukhari). Lailat
al-Qadir huendelea mpaka alfajiri, ndiyo mwisho
Soma zaidi kuhusu usiku huu Bofya hapa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
KUANGAMIZWA KWA JESHI LA TEMBOTukio la pili ni lile tukio la tembo, na ilikuwa hivi:- Kiongozi mmoja wa kiyemeni aliyetambulika kwa jina la Abrah aliona waarabu kutoka maeneo mbalimbali wanafunga misafara kuelekea Makkah kwa lengo la kwenda kuhiji.
Soma Zaidi...SURAT AL-MUAWIDHATAYN (SURAT AL-FALAQ NA SURATUN-NAS) Inaelezwa kuwa sura mbili hizi zilishuka pamoja, na maulamaa wanaelezea kuwa Mtume (s.
Soma Zaidi...(i)Dai kuwa Qur-an ni Mashairi aliyotunga Muhammad (s.
Soma Zaidi...Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 19. Hapa utajifunza maisha ya Mtume kabla ya utume.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kufundisha fadhila na faida za kusoma Alhamdu.
Soma Zaidi...