Menu



Sababu za kuvimba na maumivu kwenye korodani moja au zote mbili

Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume

Sababu za kuvimba na maumivu makali kwenye korodani ;

 

1.kisonono ; huu ni ugonjwa wa zinaa  ambao ugonjwa kwenye korodani.

 

2.chlamydia;  ni wekundu ama maumivu kwenye mlango wa uume majeraha au kuwaka moto wakati wa kukojoa.

 

3.UTI sugu yaweza kusambaa kwenye tezi dume kuja kwenye mirija hii na kuleta maambukizi. 

 

4.kupata jeraha kwenye korodani ; hii ni hutokea pale ambapo michubuko imetokea kwenye korodani na majeraha haya huleta usaha.

 

5.maambukizi ya TB kwenye uume; Kama mwanaume atakuwa ameathirika na virusi vya TB vikawa sugu huweza kusambaa na kusababisha korodani kuvimba na maumivu makali Sana.

 

6.mkojo kuingia kwenye mirija ya epididymis 

     

 Dalili zinazopelekea kupata uvimbe na maumivu kwenye korodani;

  -Pumbu kuvimba na kubadilika rangi; hii ni korodani kuwa na usaha mausaha ya kivimbiana hupelekea maumivu makali Sana.

 

-kutokwa na uchafu kwenye uume

 

-kutoa shahawa zenye damu

 

-korodani kuwa na maumivu makali pale zitakaposhikwa.

 

-maumivu wakati wa kukojoa

 

-maumivu ya tumbo la chini au nyonga.

 

Vihatarishi vinavyosababisha maumivu na kuvimba kwa korodani

  1.kuwa na wapenzi wengi m(sexual intercourse). mwanaume akiwa na wapenzi Zaid ya mmoja hupata maambukizi ya magonjwa mengi ikiwepo kuvimba na maumivu makali kwenye korodani.

 

2.kufanya tendo la ndoa bila kutumia kondomu

 

3.kuwa na magonjwa ya zinaa ambayo ni sugu kama kisonono na kaswende

 

4.kukua kwa tezi dume;  ambayo  huwapata zaidi walio na umri wa miaka 60 na huwakuendelea ni Mara chache Sana kuona wanaume chini ya umri anzia 40 akiwa na uvimbe wa korodani. 

 

5.maambukizi sugu kwenye tezi  dume  Kama vile UTI na fangasi.

 

Mathara yanayosababisha maumivu na kuvimba kwa korodani

-ugumba

-kujaa kwa usaha

-ugonjwa wa epidydimo orchitis

 

Matibabu yanayo tibu uvimbe na maumivu kwenye korodani.

√Dawa; dawa zinazoweza kutibu ugonjwa huu ni dawa za magonjwa ya zinaa au UTI.

 

√upasuaji; Kama Pumbu zimevimbia usaha matibabu itakuwa ni upasuaji ili kuondoa uvimbe na maumivu makali kwenye korodani.

 

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea

Ndio     Hapana     Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views 12678

Share On:

Facebook WhatsApp

Post zinazofanana:

Ni zipi dalili za awali za pumu

Kabla ya kubanwa zaidi na pumu, kuna dalili za awali zinzznza kujitokeza, na hapo ndipo utakapoanza kuchukuwa tahadhari. Makala hii itakwenda kukujulisha zaidi kuhusu dalili hizo.

Soma Zaidi...
FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO

FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo huja na maoni mengi potofu.

Soma Zaidi...
Elimu kuhusu HIV na UKIMWI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu elimu ya kuhusu HIV na UKIMWI

Soma Zaidi...
Dalili na ishara za shambulio la moyo

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili na ishara za shambulio la moyo. Shambulio la moyo huzuia damu yenye oksijeni kufika kwenye moyo hivyo hupelekea tishu kufa. Na Ugonjwa huu mtu akicheleweshewa matibabu huweza kupata mshtuko wa moyo mpaka kifo.

Soma Zaidi...
Fangasi wanaosababisha mapunye dalili zao na jinsi ya kupambana nao

Fangasi hawa ni maarufu sana kwa mapunye ya kichwani ama kwenye ngozi mikononi ama miguuni.

Soma Zaidi...
Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia

Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia

Soma Zaidi...
Tahadhari za ugonjwa wa UTI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu tahadhari za kuchukua ili kujikinga na UTI

Soma Zaidi...
Dalili za fangasi wa kucha.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili,sababu za Hatari,na namna ya kujizuia na fangasi wa kucha.

Soma Zaidi...