Sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo.
Sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
1. Sababu ya kwanza ni pale mtoto anaposhindwa kuzunguka na kuruhusu bega lipite.
Kwa kawaida ili mtoto aweze kuzaliwa kabla ya kumvuta kutoka kwa mama ni lazima kubadilisha upande au kuzungusha upande ili kuruhusu bega kupita ila kuna watoto wengine hawafanyi hivyo kutokana na sababu mbalimbali hali inayosababisha watoa huduma kuvuta mtoto kwa nguvu wakiwa na lengo la kuokoa maisha ya Mtoto na hatimaye baadhi ya nevu kuachia na kusababisha mtoto kuvunjika hasa hasa kwenye bega na shingo kwa hiyo utaona shingo la mtoto linacheza cheza na mkono hauna nguvu.
2. Pengine kinachosababisha mtoto kuvunjika ni mtoto juwa na uzito mkubwa.
Kwa kawaida uzito wa mtoto ni kuanzia kilo mbili na nusu mpaka tatu na nusu ila kuna watoto wengine unakuta wana uzito kuanzia nne mpaka tano kwa hiyo kuja kutoka nje wakati wa kuzaliwa ni shida nguvu za ziada zinapaswa kutumika ili kuweza kumvuta mtoto ili atoke nje katika kupambana na hali hii usababisha mtoto kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kama vile mkono, shingo na kupata maumivu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
3. Mtoto kutanguliza matako
Hali hiyo pia usababisha mtoto kuvunjika kwa sababu kuja kumzalisha mtoto wa hivi kwa sababu pengine anakiwa ametanguliza matako na mguu mwingine unakuwa umejikunja kwa hiyo kuja kuutoa unakuta umevunjika.
4. Mtoto kukaa vibaya.
Unaweza kukuta mtoto katanguliza mkono mmoja mwingine umejikunja hali ambayo usababisha kuvunjika kwa mkono uliojikunja kwa sababu hujui umejikunjia wapi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Ni zipi njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukuletea njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Madhara ya fangasi ukeni.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi ukeni, madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo mtu hakutibiwa fangasi mapema.
Soma Zaidi...Dalili za mama mjamzito akikaribia kujifungua
Post hii inazungumzia mama wajawazito Mara tu mama anapohisi kuwa yeye ni mjamzito anashauriwa kuanza clinic.na clinic hizi zinasaidia kuwapatia wakina mama elimu,namna ya kumkinga Mtoto asipatwe na maradhi Kama UKIMWI. Pia mama anapoanza clinic
Soma Zaidi...Kazi ya metronidazole
Posti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole.
Soma Zaidi...Wajibu wa mjamzito katika utaratibu wa uleaji wa mimba
Posti hii inahusu zaidi wajibu wa Mama mjamzito katika kileo mimba sio yeye tu Bali na wote waliomzunguka wanapaswa kuhakikisha kuwa mama mjamzito anapaswa kufanyiwa huduma zote Ili kuweza kujifungua salama na bila shida yoyote.
Soma Zaidi...