Sababu za kuwa na fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.
Sababu za maambukizi ya fangasi ukeni
1.Matumizi ya antibiotics
Kwenye mwili wa binadamu Kuna bakteria ambao ni wazuri na utukinga na maradhi lakini tujue kuwa kazi ya antibiotics ni kuwa bakteria ambao usababisha maambukizi pengine antibiotics uua na bakteria ambaye ulienda mwili wa binadamu na kusababisha madhara ya kuingia kwa fangasi ukeni.
2.Matazizo ya homone
Wakati mwingine homoni ubadilika katika kufanya kazi yake hasa kwenye via vya uzazi na kusababisha madhara ya kubadili pH ya kwenye uke hali ya kubadilika kwa pH kwenye uke usababisha maambukizi na fangasi ushambulia uke.
3.Kufanya mapenzi na mtu mwenye fangasi,
Hii utokea pale mtu mwenye fangasi anapofanya mapenzi na mtu asiye na fangasi,kwa hiyo fangasi kutoka kwa mtu mwingine na kwenda kwa mwingine na wasipotibiwa wanaweza kuambukizwa na watu wengine.
4. Kushuka kwa kinga ya mwili
Kwa kawaida tunajua kuwa kinga ya mwili ikishuka kila ugonjwa unyemelea kwa hiyo kinga ya mwili ikishuka usababisha maambukizi kwenye uke ambapo fangasi uanza kuamka na kushambuliwa sehemu za Siri na kuleta madhara makubwa kwa watu wenye upungufu wa kinga mwilini.
5. Kutumia sana vyakula vyenye sukari
Vyakula vyenye sukari kama vile, pipi, chocolate, sukari nyingi kwenye vinywaji, soda navyakula vyote vyenye sukari vikitumiwa kwa kiwango kikubwa usababisha mwili wote kujaa sukari na wadudu uenea sana kwenye eneo lile hasa fangasi uenea kwenye uke
6. Kuosha sana sehemu za Siri
Kitendo Cha kuosha sana sehemu za Siri hasa kwa kutumia sabuni zenye kemikali kali usababisha kuuua bakteria wazuri na kubakiza hawa wanaosababisha magonjwa na wanakuwa na kuongezeka kwa hiyo maambukizi yanakuwa mengi zaidi.kwa hiyo tunapaswa hi kuacha kutumia vipodozi vikali kuoshea sehemu za Siri.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Faida za kula tikiti
Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti
Soma Zaidi...vyakula vya kuongeza damu, dalili zake na sababu za upungufu wa damu
Zijuwe sababu za upungufu wa damu, dalili za upungufu wa damu na kazi za damu mwilini,n avyakula vya kuongeza damu
Soma Zaidi...Nini maana ya protini
Unaijuwa maana ya virutubisho vya protini, na kazi zake mwilini. Soma zaidi hapa
Soma Zaidi...UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Faida za kitunguu thaumu
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...