image

Sababu za Maambukizi kwenye mifupa.

Post hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ni Maambukizi ambayo hutokea kwenye mifupa kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha ugonjwa huu.

Sababu za Maambukizi kwenye mifupa.

Kwanza kabisa Maambukizi kwenye mifupa yanaweza kuwa ya mda mfupi au pengine yanakuwa ya mda mrefu, Maambukizi haya ushambulia hasa sehemu za mikono, miguu na sehemu za kwenye kiuno ambapo mtu uhisi sana maumivu na pengine ikitokea mgonjwa akapatiwa matibabu mapema anaweza kupona na kuendelea kwenye hali yake ya kawaida, kwa hiyo iwapo mtu akasikia maumivu yasiyo ya kawaida kwenye mikono , miguu na kiuno anapaswa kuwaona wataalamu wa afya kwa matibabu zaidi.

 

1. Maambukizi haya usababishwa na bakteria, bakteria hao kwa kitaalamu huitwa staphylococcus Aureus na aina nyingine ya bakteria ambao nao kwa kitaalamu huitwa group B streptococcus, bakteria hao upitia sehemu mbalimbali za mwili na kuingia kwenye mifupa na kusababisha madhara makubwa. Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi haya yanayosababishwa na bakteria dawa mbalimbali utumika kutibu maambukizi haya, Ili mradi mgonjwa anapaswa kuwahi hospitali ili kupata matibabu mapema.

 

2. Pia ugonjwa huu usababishwa na Maambukizi kutoka sehemu mbalimbali za mwili kama vile Maambukizi kwenye mfumo wa hewa, Maambukizi kwenye sehemu ya ndani ya sikio, tonsis ambazo ni kali  kuoza kwa meno  haya Maambukizi yakikaa mwilini na usababisha na mifupa kupata Maambukizi kwa sababu bakteria hao waliopo kwenye sehemu nyingine za mwili wanaweza pia kusambaza na kushambulia mifupa na kusababisha ugonjwa huu. Kwa hiyo tunapaswa kutibu Maambukizi yoyote kwenye mwili ili kuepuka kuwepo kwa madhara mengine.

 

Kuwepo kwa aina yeyote ya uwazi kwenye mifupa.kitendo cha kuwepo kwa uwazi wowote kwenye mifupa usababisha Maambukizi kwenye mifupa, kwa mfano kuwepo kwa kidonda kilicho wazi, kuvunjika ambapo wadudu wanaweza kupita  na kuharibu mfupa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 906


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Presha ya kushuka na matibabu yake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka na matibabu yake Soma Zaidi...

YAJUE MARADHI YA KISUKARI
Posti hii itakwenda kuelezea mambo machache kuhusu ugonjwa wa kisukari Soma Zaidi...

ugonjwa wa Malaria dalili zake na chanzo chake.
Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake. Soma Zaidi...

Dalili za Mgonjwa wa kisukari
Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Dengue
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mbu anayasambaza Ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa Aedes mosquito . Soma Zaidi...

Walio katika hatari ya kupata homa ya inni
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu. Soma Zaidi...

Maambukizi kwenye mrija wa mkojo(urethritis )
Posti hii inahusu zaidi maambukizi kwenye mrija wa mkojo, maambukizi haya usababishwa na virusi na bakteria. Soma Zaidi...

Dalili za gonorrhea
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya dalili za gonorrhea Soma Zaidi...

Minyoo na athari zao kiafya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu minyoo na athari zao kiafya Soma Zaidi...

Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa Soma Zaidi...

Madhara ya minyoo
Somo hili linakwenda kukuletea madhara ya minyoo Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster. Kwa hiyo ili kugundua kubwa mtu ana Ugonjwa huu Dalili kama hizi zifuatazo zinaweza kutokea kwa mgonjwa. Soma Zaidi...