image

Sababu za maumivu ya uti wa mgongo

Posti hii inahusu zaidi sababu za uti wa mgongo, ni ugonjwa unaotokana na kuwa na maumivu kwenye uti wa mgongo, hasa hasa ugonjwa huu ushambulia watu kuanzia miaka ishilini mpaka kwenye arobaini hivi, zifuatazo ni sababu za maumivu katika uti wa mgongo.

Sababu za maumivu katika uti wa mgongo.

1. Kubeba vitu vizito.

Hii ni sababu ya kwanza ya uti wa mgongo hasahasa utokea pale mtu akianza kubeba vitu vizito katika umri mdogo, pingili za mgongo uanza kulegea na baadae umri ukienda kumbuka kwamba na viungo vinaanza kuishiwa nguvu kwa hiyo maumivu uanza na baadae tatizo ugundulika kwamba lipo kwenye uti wa mgongo.

 

2. Pingili kuishiwa mafuta.

Katika mwili wa binadamu Kuna pingili thelathini na tatu kila pingili Ina kazi yake, pengine pingili hizi uhishiwa mafuta kwa sababu ya maambukizi au kwa sababu ya kutokuwa na mlo kamili wa vyakula vya kuongeza mafuta mwilini hali hii usababisha mafuta mwilini kuisha na pengine pingili usuguana hali hii upelekea maumivu makali kwenye uti wa mgongo kwa sababu ya msuguano wa pingili.

 

3. Mikao na miondiko mibaya.

Pengine maumivu makali kwenye mgongo usababishwa na kukaa vibaya na miondoko mibaya, hii utokea pale ambapo vijana wengi katika umri wa ujana uanza kuiga miondiko mbalimbali ambayo ufanya pingili kupinda na baadae maumivu makali kwenye mgongo utokea. Na pengine mikao mibaya ambayo haiendani na pingili za mgongo usababisha maumivu.

 

4. Kupata ajali.

Pengine maumivu ya mgongo usababishwa na kupata ajali na kuvunjika kwa baadhi ya pingili, hali hii usababisha maumivu ya mgongo hata kama mtu alitibiwa kama Kuna sehemu ilibaki na jeraha Kuna kipindi maumivu utokea hasa wakati wa baridi.

 

5. Uzito wa mwili kuwa mkubwa, ukiulinganisha na mifupa na nyama, pengine maumivu ya mgongo usababishwa na kuongeza kwa uzito wa mwili, pale ambapo mifupa uelemewa kubeba nyama za mwili kwa hiyo pingili uelemewa na uzito kwa hiyo maumivu ya mgongo uongezeka na kusababisha hali ya mtu kuwa mbaya.

 

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1715


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO: kuosha mikono, kuwa msafi, kuvaa viatu, maji safi, kuivisha nyama vyema
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo. Soma Zaidi...

Dalili za jipu la jino.
Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti. Soma Zaidi...

Njia za kupambana na fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kisonono
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisonono, ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu huitwa Neisseria gonococcal. Soma Zaidi...

Sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi
Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi Soma Zaidi...

JITIBU KWA MUAROBAINI: faida za kiafya za muarobaini
1. Soma Zaidi...

Madhara ya kaswende kwa wajawazito na watoto wadogo.
Posti inahusu zaidi madhara ya kaswende kwa mama mjamzito na mtoto, Ni ugonjwa unaopatikana hasa kwa njia ya kujamiiana na utoka kwa mwenye Ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa, kwa hiyo tunapaswa kujua madhara ya ugonjwa huu kwa mama mjamzito na mt Soma Zaidi...

je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??
Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika? Soma Zaidi...

Tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu (gangrene)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu ambao hujulikana Kama gangrene inahusu kifo cha tishu za mwili kutokana na ukosefu wa mtiririko wa damu au maambukizi ya bakteria. Ugonjwa wa gangre Soma Zaidi...

Dalili kuu 7 za vidonda vya tumbo
Zijuwe dalili kuu 7 za vidonda vya tumbo, kama kiungulia, tumbo kujaa, maumivu ya umbo.. Soma Zaidi...

Dalili za mawe kwenye kibofu Cha mkono
Mawe ya kibofu ni mkusanyiko mgumu wa madini kwenye kibofu chako. Mawe kwenye kibofu hukua wakati mkojo kwenye kibofu chako unapokolea, na kusababisha madini katika mkojo wako kung'aa. Soma Zaidi...

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani
Soma Zaidi...