image

Sababu za Mayai kushindwa kuzalishwa kwa mwanamke

Posti hii inahusu zaidi sababu za kushindwa kuzalishwa mayai kwa mwanamke, ni tatizo ambalo utokea kwa mwanamke ambapo mwanamke anashindwa kuzalisha mayai.

Sababu za mwanamke kushindwa kuzalisha mayai.

1. Matatizo ya homoni

Homoni ni tatizo bmojawapo ambalo uchangiwa mwanamke nkuzalisha mayai kwa sababu pengine bhomoni uvunja mpangilia kabisa wa kuzalishwa kwa mayai au pengine mpangilio mbaya wa homoni usababisha mayai ambayo yatazalishwa huwa hatyajakomaa, kwa hiyo hali hii usababisha mwanamke kushindwa kuzalisha mayai ambayo yana uwezo wa kuungua na mbegu na kupata mtoto.รขโ‚ฌโ€น

 

2. Kuwepo kwa majeraha na makovu

Kuwepo kwa majeraha kwenye ovari usababisha mwanamke kushindwa kuzalisha mayai kwa wakati mwingine hali hii utokea kwa sababu ya upasuaji wa mara kwa mara inayotokea kwenye sehemu mbalimbali za ovari na usababisha kushindwa kutengenezwa kwa mayai kwenye ovary kwa hiyo wakati wa upasuaji umakini inahitajika Ili kuweza kuepuka madhara ya mayai kushindwa kuzalishwa.

 

3.Kukomaa  kwa hedhi  mapema.

Hili ni tatizo ambalo utokea kwa wanawake ambao wanakaa mda mrefu bila kuzaa wakiwa katika shughuli mbalimbali za maisha kama vile kusoma na kwa wakati mwingine hedhi zao ukoma mapema ikiwa na maana kuwa mayai yanakuwa yameisha hali ambayo upelekea kutokuwepo kwa mayai kwa mwanamke.

 

4.Matatizo ya folicle .

Kuwepo kwa Matatizo kwenye follicle usababisha mayai kushindwa kuzalishwa kwa sababu kwenye follicle  ndimo mayai huzalisha na kukomaa na baadae mayai utolewa wakati wa urutubishwaji, Kuna wakati mwingine  follicle zinashindwa kupasuka na kutoa mayai kwa hiyo follicle baada ya kupasuka Ili kuachia yai zinavimba na mayai yake hali hii usababisha mayai kushindwa kuzalishwa

 

5.Magonjwa mbalimbali.

Kuna magonjwa mbalimbali kwenye ovary ambayo mengine usababishwa na magonjwa ya zinaa ambayo usababisha maambukizi kwenye  ovari na hatimaye ovary inashindwa kuzalisha mayai kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye ovari.sa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2076


Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Kitau cha Fiqh     ๐Ÿ‘‰2 Madrasa kiganjani     ๐Ÿ‘‰3 kitabu cha Simulizi     ๐Ÿ‘‰4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Hiv n kweli majivu hutoa mimb ya siku moja hadi wiki moja
Inashangaza sana, wakati wengine wanahangaika kutafutavijauzito kwa gharama yoyote ile, kuna wengine wanataka kutoa ujauzito kwa gharama yeyote ile. Unadhani njia za kienyeji sa kutoa mimba ni salama? Soma Zaidi...

Njia za uzazi wa mpango zinazomhusisha mwanaume
Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana. Soma Zaidi...

Dalili 10 za kukaribia kujifungua pamoja na uchungu wa kujifungua
Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba. Soma Zaidi...

mimi mara ya mwisho kubleed ilikuwa tareh 3/9 nilisex tarehe 4 je ni kwel nna mimba maana hadi sasa sijableed au ni kawaida tu
Je unaijuwa siku yako hatari ya kupata mimba. Na itakuwaje kama tayari umebeba mimba changa. Nakala hii inakwenda kukushauri machache kuhusu maswali haya. Soma Zaidi...

Njia za kufanya ili kuepukana na tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo. Soma Zaidi...

Je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika kupata mimba?
Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi. Soma Zaidi...

Dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi Soma Zaidi...

Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali. Soma Zaidi...

Dalili za uchungu
Uchungu wa uzazi hutokana na kubana nakuachia kwa misuli hii husababishwa kufunhuka kwa mlango wa tumbo la uzazi pamoja na shingo ya kizazi na kumuongezea mama uchungu wakati wa kujifungua(during labour) Pia kubana na kuachia huanza polepole wakati wa Soma Zaidi...

Madhara ya tumbaku na sigara
Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji Soma Zaidi...

Dalili za kuvimba kwa ovari.
ร‚ย  Posti hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa ovari kunakosababishwa na maambukizo ya bakteria na kawaida huweza kusababishwa na magonjwa sugu katika Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke. Soma Zaidi...

Dalili za mimba inayotishi kutoka
Posti hii inahusu zaidi dalili za mimba inayotaka kutoka yenyewe, Kuna wakati mwingine mama anabeba mimba na mimba hiyo I atishia kutoka na huwa inaonyesha dalili mbalimbali kwa hiyo zifuatazo ni dalili za mimba kutaka kutoka yenyewe. Soma Zaidi...