image

Sababu za mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu.

Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine.

Sababu za mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu.

1.kuharibika kwa tezi za kibofu Cha mkojo, wakati mwingine kama Kuna uhary wowote kwenye tezi za kibofu mkojo ushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo ingawa mtu anasikia hamu ya kutoa mkojo lakini hawezi, kltezi za kibofu Cha mkojo kwa kitaamu huitwa prostate gland. Kwa hiyo kama tatizo hilo limetokea mgonjwa anapaswa kumpelekea hospitalini kwa sababu mkojo kubaki ndani ni hatari.

 

2. Pengine mkojo hushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya kufanyiwa upasuaji kwa sababu wakati mwingine Kuna sehemu inaweza kuzibua kwa bahati mbaya au pengine kwa sababu ya kuzoea kutumia milija wa kupitisha mkojo, mtu akitaka kutumia njia ya kawaida mkojo unaweza kushindwa kutoka kwanza lakini kwa sababu ya kuzoea mkojo unaweza kuanza kupita tena baadae kwa mtu Mwenye tatizo hili Inabidi kufuata masharti ya waganga na wauguzi.na ataweza kuelekea kwenye hali ya kawaida.

 

3. Kushindwa kufanya kazi kwa Neva mbalimbali ambazo uhusika na mkojo.

Nevu mbalimbali zikishindwa kufanya kazi yake kuu ya kuamuru mkojo utokea kwa wakati wake mkojo unaweza kubaki kwa Sababu tunajua kuwa mwilini kwa binadamu Kuna nevu  na nevu hizo ndo zinahakikisha kila kitu mwilini linaenda sawa kwa hiyo kama nevu hazifanyi kazi na mkojo utashindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo mpaka kazi ya nevu ikamilike.

 

4. Kuharibika kwa kibofu Cha mkojo.

Wakati mwingine mkojo ukosa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya kuharibika kwa sehemu mbalimbali za kibofu Cha mkojo hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo au labda pengine ni kwa sababu ya ajali kwenye kibofu Cha mkojo hali hii usababisha mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo, kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa mkojo unatoka kwenye kibofu maana  ukibaki ni hatari sana.

 

5. Pengine mkojo hushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo kwa sababu ya baadhi ya madawa yanayotumiwa na mhusika kama vile atropine na antidepressants, hizi dawa zikileta matokeo kama haya ni lazima mgonjwa apelekwe hospitali mapema Ili kusaidia mkojo uweza kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/15/Wednesday - 08:17:55 am Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1063


Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 kitabu cha Simulizi     ๐Ÿ‘‰2 Madrasa kiganjani     ๐Ÿ‘‰3 Kitabu cha Afya     ๐Ÿ‘‰4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume Soma Zaidi...

Matibabu ya fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya fangasi Soma Zaidi...

SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO
SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H. Soma Zaidi...

Dalili na ishara za ugonjwa sugu was Figo.
ร‚ย Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole.ร‚ย  Kupoteza utendakazi wa figo kunaweza kusababisha mrundikano wa majimaji au uchafu wa mwili. Kulingana na jinsi ilivyo kali, upotezaji wa kazi ya Soma Zaidi...

Tatizo la fizi kuachana.
Posti hii inahusu zaidi tatizo la fizi kuachana, ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi kwa wakati mwingine unakuta fizi zimeachana kutoka sehemu moja kwa nyingine kwa hiyo tunaweza kuona sababu kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Mtu mwenye maumivu ya tumbo upande wa kushoto anaweza kutumia tiba gani ya asili ambayo inaweza kumsaidia kupunguza maumivu?
je na wewe ni mmoja katika wenye maumivu ya tumbo upande mmoja?. Basi post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

Aina za fangasi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya aina za fangasi Soma Zaidi...

Kupambana na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto. Soma Zaidi...

Je vidonda vya tumbo husababisha maumivu mpka upande mmoja wa mgongoni !?
Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu ya tumbo ni dalili ya shida nyingi za kiafya kama ujauzito, mimba, typhod, na shida kwenye unfumo wa chakula. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni
Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i Soma Zaidi...

Fangasi wa kwenye uke.
Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis. Soma Zaidi...