Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Posti hii inahusu zaidi sababu za mwanamke kukosa tendo la ndoa, ni sababu ambazo uwakuta wanawake wengi unakuta mama yuko kwenye ndoa ila hana hata hamu ya lile tendo la ndoa hali ambayo umfanya mwanamke kuona kitendo cha tendo la ndoa ni unyanyasaji au

Sababu za mwanamke kutofurahia tendo la ndoa.

1. Sababu ya kwanza ni kuwepo kwa Maambukizi kwenye via vya uzazi kwa kitaalamu huitwa pelvic inflammation disease ni ugonjwa unaoshambulia ovary, mirija ya kwenye follapian tube kwenye kwenye uke na mlango wa kizazi kwa hiyo Usababisha hata na homoni zile zinazousika na utengenezaji wa Ute na hamu ya tendo la ndoa kuharibika pia.

 

2.Mabadiliko katika mfumo wa homoni.

Kuna wakati mwingine kuna mabadiliko kwenye mfumo wa homoni kama vile  kukoma hedhi hali ambayo upelekea na tendo la hamu ya ndoa kupungua pia.

 

3. Matatizo ya kisaikolojia.

Kuna wakati mwingine matatizo ya kisaikolojia ni tatizo mojawapo la kufanya tendo la ndoa lisiwe na faida au hamu kupotea kabisa kwa mfano kama mama ana tatizo au amegombana na mme wake anaweza kupata tatizo hilo au kama mama hapati matumizi nyumbani na hali ya maisha ni ngumu kabisa na lenyewe ni tatizo au mama ana watoto wengi na wanafuata na mme wake hajali kila mda tendo kwa hiyo akili za mama ni kufikilia labda atabeba Mimba nyingine.

 

4. Kuwepo kwa ukavu kwenye uke.

Kuna wakati mwingine ukavu kwenye uke usababisha Mama hasipate hamu ya tendo la ndoa kwa sababu kuwepo kwa ukavu usababisha maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kwa hiyo kila mama akifikilia maumivu hayo anakosa hamu ya tendo la ndoa.

 

5. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Kuna wakati mwingine mama uhisi maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kwa sababu au kuna vipengele au uke wake na uume havilingani kwa sababu uuume ni mkubwa na uke mdogo.

 

6. Kwa hiyo ni vizuri kabisa wachumba au wanandoa wenyewe wanapaswa kabisa kuelewana kama mtu ana tatizo lolote kuhusu kutofurahia tendo la ndoa ni vizuri kukaa na kujadiliana au kama kuna matibt ni vizuri kutibu tatizo.

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 09:24:51 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3592


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-