SABABU ZA MWANAMKE KUUMWA TUMBO Y CHINI YA KITOVU.


image


Posti hii inahusu sababu za mwanamke kuumwa tumbo chini ya kitovu, ni tatizo ambalo limewapata wanawake wengi na pengine sababu ni vigumu kupata au pengine zinapatikana lakini kwa kuchelewa hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.


Sababu za wanawake  kuumwa tumbo la chini ya kitovu.

1. Tunapaswa kufahamu kwamba wanawake wengi upatwa na tatizo hili kwa namna na wakati tofauti tofauti  Kuna wengine hupatwa tumbo la kwenye chini ya kitovu kwa upande wa wa kulia chini ya kitovu, pengine kushoto na pengine katikati ya kitovu.

 

 

 

 

2. Maumivu haya mara kwa mara utokea kwenye kibofu cha mkojo au kati kati ya via vya uzazi vya mwanamke.

 

 

 

3. Mara nyingi ni vigumu kwa sababu ya kuwepo kwa maumivu maka li ila kwa sababu ya dalili ni rahisi kuweza nkutambua Dalili kwa sababu mara nyingine vipimo uweza kutolewa lakina majibu ni tofauti tofauti ila kwa kutumia dalili ni rahisi kugundua tatizo.

 

 

 

 

4. Kw hiyo ni vizuri kabisa kuwaona wataalamu wa afya Ili kuweza kugundua au kumtambua tatizo hili na shida ni nini



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za saratani ya ini
Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini. Soma Zaidi...

image Mambo ya kufanya kama una kiungulia
Posti hii inahusu zaidi mambo ambayo unapaswa kufanya kama una tatizo la kiungulia. Soma Zaidi...

image Madhara ya fangasi.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi za ukeni kwa kawaida tunajua kubwa fangasi zikiingia kwenye uke usababisha madhara mbalimbali ambayo mengine yanaweza ya kudumu na mengine ya mda kama yametibiwa mapema. Soma Zaidi...

image NJIA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIRUSI VYA VYA UKIMWI NA ATHARI ZAKE
Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .pia  tutangalia  njia za kujikinga na  ugonjwa wa UKIMWI Soma Zaidi...

image Koo langu limekauka yaweza kuwa ni muadhirika?
kuwashwa na koo ni katika dalili za kuwa na maambukizi mwilini. Kuwa na maambukizi haimaanishi ni HIV ama UKIMWI laa hili ni neno pana. Hapa nitakujuza kwa ufupi kuhusu swali hilo la muulizaji kuwa anawashwa na koo. Soma Zaidi...

image Nini sababu ya kuchubuka midomo na kuwa myeupe
Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili. Soma Zaidi...

image Matibabu ya maumivu chini ya kitovu
Post hii inahusu zaidi matibabu ya kutibu ugonjwa wa maumivu chini ya kitovu. Soma Zaidi...

image Fangasi mdomoni ni dalili ya minyoo aina gani
Zipo aina nyingi za fantasy ambazo ni rahisi kuathiri binadamu. Wipe ambao haiathiri mdomo, nyayo, shemu za siri na kwenye ngozi. Soma Zaidi...

image Dalili kuu za minyoo
Minyoo ni katika viume wanyonyaji, wanaoishi katika miili ya viumbe hai na kujipatia chakula humo. Minyoo wanaweza kuishi kwenye maeneo yenye majimaji kama kwenye maji, ndani ya viumembe hai kama mtu, ngombe, ngure na paka. Minyoo pia wanaweza kuishi kwenye udongo. Minyoo wanaweza kusababisha maradhi ndani ya mwili wa kiumbe hai. Minyoo isipotibiwa inaweza kusababisha athari zaidi kwenye afya ya mtu. Makala hii inakwenda kukuletea dalili za minyoo. Soma Zaidi...

image Tatizo la tezi koo
Posti hii inahusu zaidi tatizo la tezi koo, ni tatizo ambalo uwapata watu mbalimbali ambapo Usababisha koo kuvimba na mgonjwa huwa na maumivu mbalimbali na pengine mgonjwa upata kikohozi kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye koo. Soma Zaidi...