Sababu za ugonjwa wa pumu, dalili zake na jinsi ya kujilinda na pumu.

Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa ambapo mgonjwa hushindwa kupumua vizuri na hupelekea matatizo ya kudumu kama haujatibiwa mapema.

Dalili za ugonjwa wa pumu

1. Kubanwa na kifua

2. Kupumua kwa shida

3. Kikohoa

4. Mlio wa kupumua  huwa kama sauti ya filimbi

5.hewa huwa fupi wakati wa kupumua.

 

Aina ya ugonjwa wa pumu

1. Pumu ya mda

Hii ni Aina ya pumu ambayo huchukua mda mfupi na inaweza kutibiwa na ikaisha kabisa.

 

2. Pumu ya kudumu

Hii ni Aina ya pumu ambayo huchukua mda mrefu na mtu anaweza kuishi nayo maisha yake yote Ila Kuna dawa ambayo hutumika Ili kupunguza makali na kutumia kwa mda.

 

Zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa pumu,kufuata a na wataalamu mbalimbali hakuna sababu za moja kwa moja zinazosababisha pumu Ila Kuna viashilia ka vifuatavyo

. 1- Uchafuzi wa Hali ya hewa

. 2- Kemikali mbalimbali

.3. harufu ya Maua na mimes

.4. vipodozi 

 .5. pamoja na vumbi

 

Namna ya kutibu ugonjwa wa pumu

Ugonjwa huu ukiuwahi unatibika hospitalin, pia kujitahidi kujiepusha na mazingira yanayosababisha kuwepo kwa pumu na kufuata maagizo ya wataalamu.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/15/Monday - 04:07:23 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3301

Post zifazofanana:-

Je, utamsaidia vipi mtu aliyeumwa na nyuki?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo kitovuni na dalili zake Soma Zaidi...

Fida za kula uyoga
Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy Soma Zaidi...

Nguzo za uislamu:Shahada
Nguzo za uislamu: Shahada (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Athari za ugonjwa wa Dondakoo
Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna matokea hasi ambayo yanaweza kujitokeza kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba Soma Zaidi...

Njia za kutibu mbegu dhaifu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia. Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa ,kwa kawaida Ugonjwa huu utokea kuanzia kwenye wiki ya pili mpaka mwaka mmoja na hapo Ugonjwa unakuwa bado haujaonesha Dalili na Dalili zikishaonekana ni vigumu kutibika. Soma Zaidi...

Sababu Zinazopelekea maumivu ya shingo.
Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani. Soma Zaidi...

Kuona damu kwenye mkojo
Kuona damu kwenye mkojo kunaweza kusababisha wasiwasi. Ingawa katika hali nyingi kuna sababu zisizofaa, Damu kwenye mkojo (hematuria) pia inaweza kuonyesha ugonjwa mbaya. Soma Zaidi...

Safari ya tatu ya Sinbad
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

Vipimo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo Soma Zaidi...