Sababu za za ugumba kwa Mwanaume
Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.
1.Ugumba ni hali ambayo utokea pale mwanamke na mwanaume wanaoishi pamoja na kujamiiana kwa kipindi Cha miezi sita au mwaka mmoja wakiwa wanajamiina pasipokutumia kondomu na mwanamke anashindwa kupata mimba, tatizo kinaweza kuwa la mwanamke au mwanaume kwa hiyo Leo tunaenda kujua sababu za ugumba kwa Mwanaume.
2. Sababu ya mojawapo ni pale mwanaume anapokuwa na kiwango kidogo Cha manii, Ili mimba kuweza kutungwa lazima mwanaume awe na uwezo wa kuwa na kiwango Cha kutosha Cha manii, Kuna wanaume ambao wanazaliana kiwango kidogo mno Cha manii hali ambayo uwafanya wanaume kushindwa kutungisha wanawake mimba.
3. Kushindwa kukomaa kwa manii.
Mara nyingine manii ya baadhi ya wanaume utolewa wakati wa kujamiiana kabla ya kukomaa, hali hii haiwezekani kubebesha mimba, wanaume wanaopatwa na changamoto kama hii ni wale ambao ujihusisha kwenye ngono mara kwa mara hali ambayo ufanya kutoa mbegu kabla ya kukomaa au wengine ni kwa sababu ya magonjwa mbalimbali ambayo utokea kwenye via vya uzazi au wengine ni kwa sababu ya kuridhi.
4. Ukosefu wa homoni za kiume za kutosha.
Hili ni tatizo ambalo ufanya wanaume kuwa na ugumba kwa sababu tunajua wazi kazi ya homoni kwa wanaume ni kutengeneza mbegu za kiume ambazo baadae mbegu hizo ndizo zinaweza kutungisha mimba, kama homoni hizo hazipo kwa kiwango kinachohitajika mimba haiwezekani kutungwa, kwa mfano wa homoni za kiume ni Testesterone homoni.
5. Unyanyasaji wa kingono.
Kuna wanaume wengine wanapata unyanyasaji wa kingono kutoka kwa wanawake zoa, hali hii usababisha mawazo mengi kwa wanaume na baadae wanashindwa kutungisha mimba.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 ai web app 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.
Soma Zaidi...Sabau za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Njia za kufanya ili kuepukana na tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba
Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama ananyonyesha
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama anaenyonyesha
Soma Zaidi...Njia za kumsafisha Mama aliyetoa mimba.
Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...