Sababu za zinazosababisha kuwepo kwa vidonda

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.

Sababu za kuwepo kwa vidonda.

1.Damu kushindwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali za mwili, kuna wakati mwingine damu inashindwa kusafili kwenye baadhi ya sehemu mbalimbali kwa hiyo sehemu hiyo ikikosa damu seli za pale zinakufa na zikishakufa zinafanya sehemu hiyo kwa na kidonda.

 

2.Sababu nyingine ya pili ni magonjwa kwa mfano ugonjwa wa kisukari, tunaona kabisa Watu wenye ugonjwa huu wakishapata vidonda ni vigumu kupona na utakuta wengi wao wamefanyiwa upasuaji kwa hiyo kwa wale wenye tatizo la ugonjwa wa kisukari wawe makini ili wasiweze kupata vidonda kwa maana wanapata shida katika kupona.

 

3.Pia kuna tatizo jingine ambapo damu usafiri kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kwenda kwenye moyo ila kuna wakati damu inashindwa kurudi na kuzunguka kwenye sehemu yake hiki kitendo Usababisha vidonda.

 

4.Kulala kwa mda mrefu.

Hali hiii uwapata wagonjwa wanaolala mda mrefu bila kugeuzwa kwa hiyo hupata matatizo kama hayo kwa hiyo tunapaswa kuwageuza wagonjwa wetu mara tu wanapopata Magonjwa ambayo yanawafanya wasiamke sehemu walipo.

 

5.Kwa hiyo tumeweza kujua sababu za vidonda kwenye miili yetu , tunapaswa kuepuka njia yoyote ya kuenea kwa tonsili kwa sababu ni mateso makali kwa wagonjwa kwa hiyo na wale ambao wamelala kitangandani kwa mda mrefu tunapaswa kuwafanyia usafi ili 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/22/Tuesday - 10:50:55 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 705


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Mambo yanayochangia Ili dawa kuingia kwenye damu vizuri
Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia. Soma Zaidi...

Faida za chanjo
Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...

Vipimo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo Soma Zaidi...

Umuhimu wa kupumzika kiafya
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupumzika kiafya, kwa kawaida mwili na viungo vingine vya mwili uweza kufanya kazi zaidi pale mtu akiwa amepumzika. Soma Zaidi...

Maumivu ya kifua yanayosababishwa na kupungua kwa mtiririko wa Damu kwenye moyo.
'Maumivu ya kifua'yanayosababishwa na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye misuli ya moyo, kitaalamu huitwa Angina ni dalili ya'Ugonjwa wa ateri ya Coronary. Ugonjwa huu kawaida hufafanuliwa kama kufinya, shinikizo, uzito, kubana au maumivu kwenye Soma Zaidi...

Kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini Soma Zaidi...

Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii Soma Zaidi...

Utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kupanda
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda Soma Zaidi...

Umuhimu wa uterusi
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu vitamini D na kazi zake mwilini
Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D. Soma Zaidi...