SABABU ZINAZOPELEKEA TUMBO KUJAA GESI


image


Kiufipi posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea tumbo kujaa gesi


   Zifuatazo Ni dalili za tumbo kujaa gesi

1.kipungua uzito.

2.kukosa choo au kupata choo kigumu

3.kuharisha

4.kinyesi kuwa na Damu au mkojo.

5.homa.

6.mwili kukosa nguvu.

 

     Zifuatazo Ni sababu zinazosababishwa tumbo kujaa gesi

1.kula vyakula vyenye gesi.

2.vidonda vya tumbo.

3.mwili kukosa maji; ambapo maji yakikosekana mwili mmeng'enyo wa chakula huwa mgumu kufanyika mfano umekunywa pombe au vyakula vya asidi alaf maji mwilini hayapo hupelekea tumbo kujaa gesi

 

4.kukosa choo au choo kuwa kigumu; Ni kwasababu mtu habati mlo kamili Kama vile vyakula visivyo na  nyuzinyuzi, au vilivyokobolewa,kutokunywa maji na msongi wa mawazo huweza kusababisha tumbo kujaa gesi.

 

5.mzio wa chakula (alegi) Kuna vyakula ambavyo mtu akila atakuwa navyo na alegi hivyo hupelekea mtu huyo kujaa gesi tumboni mwake.

 

6.saratani;endapo utapata Saratani ya utumbo mkubwa hupelekea tumbo kujaa gesi

 

6.maambukizi; endapo utakuwa na maambukizi kwenye utumbo Kama vile fangasi, bacteria na virusi lazima tumbo lijae gesi.

 

7.majeraha kwenye mfumo wa chakula; mfumo wa chakula ukipata tu mikwaruzo au vidonda vidonda hupelekea tumbo kujaa gesi.

 

  Mwisho; tumbo likijaa gesi huwa na dalili zake ambazo huonekana hivyo basi Ni vyema kuonana na dactari ili kupata matibabu mapema .



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za ngozi kuwasha.
Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa kuhusiana na dalili za ngozi kuwashwa. Soma Zaidi...

image Walio kwenye hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa, Soma Zaidi...

image Dalili za malaria
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama. Soma Zaidi...

image Dalili za selulitis.
Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kutoka kwa mtu hadi mtu. Soma Zaidi...

image Dalili za ujauzito: Nini kinatokea kwanza
Je, unafahamu dalili za mwanzo za ujauzito? Kutoka kwa kichefuchefu hadi uchovu, ujue nini cha kutarajia. Soma Zaidi...

image Nini husababisha kizunguzungu?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu. Soma Zaidi...

image Walio hatarini kupata gonorrhea (gonoria)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu watu walio hatarini kupata gonorrhea gonoria Soma Zaidi...

image Faida za tumbo katika mwili wa binadamu
Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula, Soma Zaidi...

image Kivimba kwa mishipa ya Damu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa yako ya damu. Inasababisha mabadiliko katika kuta za mishipa ya damu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha, kudhoofisha, kupungua na kupungua. Mabadiliko haya huzuia mtiririko wa damu, na kusababisha uharibifu wa chombo na tishu. Soma Zaidi...

image Sababu za mngurumo wa moyo
Mngurumo wa moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako. Sauti hizi zinaweza kusikika na kifaa kinachojulikana kama stethoscope. Mapigo ya moyo ya kawaida hutoa sauti mbili kama Soma Zaidi...