Posti hii inahusu zaidi sababu za kufanya figo kuharibika.hili ni janga ambalo linawakumba Watu wengi siku hizi na kusababisha kupoteza maisha kwa wagonjwa wa figo hasa hasa kwa wale ambao hawana uwezo wa kulipia hela ya kusafishia figo.
Sababu za kuharibika kwa figo.
1. Kuchelewa kwenda haja.
Mtu anapohisi mkojo na akautunza bakteria uanza kuhama kutoka kwenye kibofu cha mkojo na kuanza mashambulizi kwenye figo kwa hiyo pindi tusikiapo mkojo nenda ukakojoe.
2.Kula chumvi kupita kiasi.
Pia hili nalo ni tatizo ambalo Usababisha kuharibika kwa figo kwa kawaida kila siku Tunapaswa kula chumvi kiasi cha gramu tano na pointi nane na zikizidi tunaweza kupata matatizo ya figo kwa hiyo ni vizuri kupunguza kiasi cha chumvi kwenye chakula.
3.Kula nyama kupita kiasi .
Kuna Watu wenye tabia ya kula nyama kupita kiasi na kuongeza kiasi kikubwa cha protini kwenye mwili ambacho uharibu figo kwa hiyo tunapaswa kula nyama kwa kiasi kidogo sio kila siku nyama hasa nyama nyekundu.
4.Unywaji wa kupita kiasi kwa vinywaji vyenye caffeine, kama vile soda na kahawa , kwa hiyo tunywe vinywaji hivi ila kwa kiasi kidogo sana hasa wale wenye umri wa magonjwa nyemelezi wanapaswa kupunguza sana.
5. Kutokunywa maji
Hili nalo ni tatizo ambalo Usababisha kuaribika kwa figo kwa sababu maji yanahitajika kwa kiasi kikubwa ili kuweza kusaidia kusafisha uchafu uliopo kwenye figo na uchafu ukiwa mwingi unasababisha kuaribika kwa figo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mfumo wa mwili ambao huhusika na kusafirisha damu ,virutubisho na takamwili.mfumo huu unajumuisha damu,mishipa ya damu na moyo.moyo husukuma damu kupitia mishipa ya damu na kufika maeneo yote ya mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa mdomo unaoungua ni neno la kimatibabu kwa ajili ya kuungua kinywani kwa mara kwa mara (kwa muda mrefu) bila sababu dhahiri. Usumbufu huo unaweza kuathiri ulimi wako, ufizi, midomo, ndani ya mashavu yako, paa la mdomo wako au maeneo yaliyoenea
Soma Zaidi...Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili
Soma Zaidi...Katika makala hii utajifunza kuhusu kifua kikuu, dalili zake, sababu zake, chanzo chake na mambo hatari kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukufahamishavkuhusu saratani yavkibifu cha mkojo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Soma Zaidi...