SAFARI YA MUUJIZA ( SEHEMU YA PILI)
Post hii ni mwendelezo wa hadithi ya safari yenye muujiza ,ni pale mtoto ya Mungu mengi anafika kwenye kituo Cha ntonga na kuona yake mazingira na kufahamu njia ya kwenda kule.
SAFARI YA MUUJIZA
Basi wakafika pale kwenye kituo wakawakuta watoto wengi wa Kila namna ,na waliruhusiwa kucheza nao, Kula nao Kwa sababu walikuwa wamekwenda wameandaa chakula, basi wakaanza kuzunguka sehemu mbali mbali,na Katika kuzunguka ya Mungu mengi alianza kutembelea sehemu mbali akiwa mwenyewe baadae aliona msichana wa Rika lake na Kama vile wanafanana akashutuka sana,akapaswa kumsogelea ili aweze kuongea naye,wakakaribiana wakasalimiana, ya Mungu mengi akauliza unaitwa nani huyu akamjibu naitwa maria na huyu akamjibu naitwa ya Mungu mengi,ya Mungu mengi akapenda kufahamu kuhusu maisha ya yule dada, basi yule dada akaanza kusimulia History yake Kama ifuatavyo.
MI'mi naitwa maria Amani,Nina umri wa miaka kumi na Saba Niko kidato Cha nne kwenye shule ya Kadio Kwa Sasa Niko hapa Kwa sababu Huwa naenda shule na kurudi,ila Mimi nilijikuta hapa Kwa sababu wazazi wangu walitangulia mbele ya haki na pia niliambiwa tulikuwa mapacha wawali mmoja aliitwa Martha Amani ila Kwa sababu alichukuliwa na wazazi ili awe mtoto wao Kwa sababu hawakuwa na mtoto wa kike,ila Mimi Nina hamu ya kumwona ndugu yangu ili kupambana na maisha,
Baada ya msichana maria kuongea hivyo ya Mungu mengi alifikilia sana na akasema moyoni mwake atanda kumuuliza mama yake mlezi sehemu alipomtoa na walikuwa na hali gani, basi mda wa kuondoka ukafika wale wasichana wakaagana na kwenda Kila mtu sehemu yake ila wakawa na wasi wasi mkubwa, kabla ya ya Mungu mengi hajaondoka mwalimu aliwaita akawaambia Kila mtu anapaswa kuchagua rafiki ,ndipo ya Mungu mengi akakimbia Kwa maria ili wawe marafiki ila waliendelea kutoelewa Kwa sababu walikuwa wanafanana sana.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 ai web app 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
NIMLAUM NANI? (Sehemu ya pili)
Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.
Soma Zaidi...USALITI (sehemu ya kwanza)
Post hii inahusu zaidi vijana wawili ambao ni msichana na mvulana walioingia kwenye mahusiano wakiwa sekondari na wakahaidiana kuoana ila kwa sababu mbalimbali walizokutana nazo kwenye safari yao ya mahusiano mmoja akamsaliti mwingine na kusababisha kupo
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.
Soma Zaidi...NIMLAUMU NANI part 1
Post hii inahusu hadithi Moja ya kijana maaalufu aliyeitwa Frank, ni kijana aliyekuwa mwaminifu ila amekumbana na wasichana wengi wanamasaliti ukizingatia Frank alikuwa kijana mstaalabu na mwaminifu sana ila anafikia kufanya maamuzi magumu kufuatana na ku
Soma Zaidi...SAFARI YA MUUJIZA sehemu ya tatu
Post hii inahusu Zaidi hadithi ya safari ya muujiza ambapo ya Mungu mengi anaenda kwao na kuomba kufahamu history yake ili afahamu kuhusu wazazi weo walipo na ndugu zao walipo.
Soma Zaidi...