Samaani nilikuwa nauriza ninasumburiwa na fanga ya mdomoni naomba ushauri

Samaani nilikuwa nauriza ninasumburiwa na fanga ya mdomoni naomba ushauri

Fangasi mdomoni wanaweza kuwa tatizo endapo hawatatibiwa mapema. Wanaweza kuongeza majeraha kwenye kinywa.

Swali: 

Samaani nilikuwa nauriza ninasumburiwa na fanga ya mdomoni naomba ushauri. 

 

Jibu: 

👉Dawa za fangasi mdomoni zinapatikana kwenyemaduka ta dawa.  Fluconazole ni moja ya dawa hizo.  Fika duka ladawa atakuoa naelekezo namna ya kutumia. 

 

👉Pia vyema kufikakituo cha afya kwa ajili ya vioimo zaidi.  Unaweza kuhisi ni fangasi kumbe ni vidonda tu vinavyosababishwa na upingufu wa baadhi ya virutubisho. 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 1828

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 web hosting     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Dalili za Mgonjwa wa kisukari

Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.

Soma Zaidi...
Dalili za Ugonjwa wa pombe wakati Mtoto akiwa tumboni

Ugonjwa wa ulevi wakati Mtoto akiwa tumboni (fetasi) ni hali ya mtoto inayotokana na unywaji pombe wakati wa ujauzito wa mama. Ugonjwa wa pombe wa fetasi husababisha uharibifu wa ubongo na matatizo ya ukuaji.

Soma Zaidi...
JE?WAJUA NJIA SAFI NA KANUNI ZA KUWEKA MWILI WAKO KWENYE AFYA NZURI?

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa usafi katika maisha ya mwanadamu au mwili wa binadamu.

Soma Zaidi...
Dalili za UKIMWI huonekana baada ya muda gani

Hapa utajifunza muda mabao dalili za VVU na UKIMWI huonekana, na kwa muda gani mgonjwa ataishi na UKIMWI bila ya kutumia ARV

Soma Zaidi...
Vipimo vya VVU

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU

Soma Zaidi...