Samahani naomba kuhuliza je unaweza kutokwa na maji maji ambayoa ayana rangi Wala harufu Ni dalili gani kwa mimba ya mwezi mmoja
ukiwa na ujauzito unaweza kuona mabadiliko mengi katika mwili wako yakiwemo kutokwa na majimaji. je majimaji haya yana dalili gani kwenye ujauzito?
Swali:
Samahani naomba kuhuliza je unaweza kutokwa na maji maji ambayoa ayana rangi Wala harufu Ni dalili gani kwa mimba ya mwezi mmoja
Jibu:
Majimaji yasiyo na harufu wa rangi ya tofauti na kawaida, ukiwa na ujauzito majimaji haya hayana tatizo. Kawaida mwili wa mwanamke una njia ya kukinga njia ya uzazi dhadi ya mashambulizi ya bakteria ambayo yangeweza kuathiri mtoto tumboni. Hivyo majimaji haya husaidia katika kulinda njia ya uzazi iendelee kubakia salama na madhubuti dhadi ya mashambulizi ya bakteria, fangasi na vijdudu vingine.
Vyema kufika kituo cha afya endapo majimaji haya yatakuwa na harufu mbaya, ama yana rangi tofauti na kawaida ama yakiwa yanawasha.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 ai web app 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Mabadiliko ya Matiti kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA.
Soma Zaidi...Huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja.
Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Soma Zaidi...Nini husababisha upungufu wa nguvu za kiume
Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito.
Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito.
Soma Zaidi...