image

Sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji.

Posti hii inahusu zaidi sheria za kutunza usafi wakati wa upasuaji, iwapo sheria mojawapo ikienda kinyume ijulikane kuwa usafi haujaenda sawa na pengine kwa kitaalamu huitwa contamination.

Sheria za usafi wakati wa upasuaji.

1.kifaa chochote ambacho kimegusa kidonda cha mgonjwa uhesabiwa kubwa ni kichafu na kinapaswa kufanyiwa usafi kwa kuanzia kwenye ndoo yenye maji ya sabuni, baadae kwenye maji ya chlorine na baadae kwenye maji masafi na baada ya hapo upelekea na kuunguzwa ili kuua wadudu wote na baadae kutumiwa tena. Kwa hiyo hata kama chombo kimegusa kwa sehemu ndogo kinaesabiwa kuwa ni kichafu.

 

2.Sehemu yoyote safi inapaswa kukutana na sehemu nyingine ambayo ni safi na sehemu chafu inapaswa kukutana na sehemu chafu, ikiwa sehemu ya kifaa kilicho safi limekutana na sehemu nyingine ya kifaa iliyochafu hata sehemu ndogo kifaa hicho kinaesabiwa kubwa ni kichafu kwa hiyo kinapaswa kusafishwa kwa utaratibu unaofaa.

 

3.Kwa upanda wa wafanyakazi au wahudumu wa kwenye chumba cha upasuaji wanapaswa kutembea kutoka kwenye sehemu safi kwenda sehemu safi na kutoka sehemu chafu kwenda chafu, ikitokea mmoja anatembelea kwenye sehemu safi kwenda chafu anaesabika kubwa hazingatii usafi na anapaswa kubadilisha nguo na kunawa vizuri ndipo anaruhusiwa kuendelea na shughuli za upasuaji.

 

4.Kutembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine ila sehemu iliyo safi wakati wote wa upasuaji haina maana kwamba umekosea sheria za usafi wakati wa upasuaji, kwa sababu kuna vitu vinapaswa kutolewa sehemu moja kwenda nyingine, ila kama ni kutembea sehemu chafu na kurudi kwenye sehemu safi hapo kuna makosa.

 

5.Sehemu yoyote kwenye chumba cha upasuaji inapaswa kukingwa kutokana na unyevunyevu kwa maana unyevunyevu utunza uchafu mwingi sana na kusababisha magonjwa mengi na Maambukizi kwa mgonjwa kwa hiyo chumba cha upasuaji kinapaswa kusafishwa mda wote na kuhakikisha kubwa kinabaki safi hata mtu akigusa kwenye sehemu yoyote hasitoke na vumbi.

 

6.Wakati wa kufanya upasuaji vifaa vyote ambavyo ni safi na vinapaswa kutumiwa kwa mda huo vinapaswa  juwa wazi na vinaonekana kwa hiyo wahudumu wanaohusika na vifaa wanapaswa kuwa karibu ili kuweza kuweka vifaa karibu na kuepuka kutoka sehemu moja na kwenda nyingine, kwa hiyo maandalizi ni ya maana kwa mtunza vifaa.

 

7.Kifaa chochote ambacho kinatiliwa  mashaka kuhusu usafi kinaesabiwa kubwa ni kichafu kama kinapaswa kusafishwa na kutumia kama kinahitajika, kwa hiyo waandaaji wa vifaa wanapaswa kuwa makini katika kuandaa vifaa vyao ili kuepuka makosa wakati wa upasuaji na kutilia mashaka kwa baadhi ya vifaa.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/07/Monday - 05:14:44 pm Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 666


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

DALILI ZA KUTOKA AU KUHARIBIKA KWA MIMBA
Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Soma Zaidi...

Kitabu Cha Kitabu Cha matunda
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

MAANA YA AFYA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...

Somo la afya na dawa na matibabu
Soma Zaidi...

kitabu cha afya
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

NJIA AMBAZO MARADHI HUAMBUKIZWA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

TAHADHARI KWENYE VYAKULA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

dondoo 100 za Afya
Basi tambua haya;- 61. Soma Zaidi...

KITABU CHA AFYA (kisukari, saratani, vidonda vya tumbo, HIV na UKIMWI) DALILI NA CHANZO
Soma Zaidi...

DONDOO 100 ZA AFYA
Pata dondoo 100 za Afya Soma Zaidi...

Vyumba vidogo vidogo kwenye chumba cha upasuaji
Post hii inahusu zaidi juu ya vyumba vidogo vidogo ambavyo Vimo kwenye chumba cha upasuaji, ingawa chumba cha upasuaji ni kimoja ila kuna vyumba vingine vidogo ambavyo vinatumika kwa kazi mbalimbali kama tutakavyoona. Soma Zaidi...