Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..

Kama tulizoona faida za protini ndani ya miili yetu basi pia itambulike kuwa kuna hasara kubwa za kiafya endapo mtu atashindwa kupata protini za kutosheleza ndani ya miili yetu. Hapo chini nitakuorodheshea tu baadhi ya madhara ya kukosa protini ya kutosha:
1.Kudumaa na ukuaji hafifu wa mtoto
2.Kypata kiriba tumbo
3.Kupata kwashiakoo
4.Misuli na nyama kustokijazia vya kutosha
5.Kukosa nguvu ya kutoka kufanya kazi
6.Kukonda na kudhoofu
ULAJI WA PROTINI KUPITILIZA
Kwa upande wa pili ulaji wa protini nje ya kiwango unaweza kuleta athari hasi katika afya ya mlaji. Zifuatazo ni madhara ya kula vyakula vya protini kupitiliza:-
1.Kuongezeka kwa uzito mwilini
2.Kupata tatizo la kukosa chookuharisha
3.Kupungua kwa maji mwilini
4.Kupata matatizo ya moyo
5.Kuathirika kwa fogo
6.Hatari ya kutengengezwa kwa seli za saratani mwilini
Umeionaje Makala hii.. ?
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula salama kwa mwenye kisukari
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza vyakula unavyopasa kul ili kuboresha afya ya meno yako. Pia utajifunza vyakula vilivyo hatari kwa afya ya meno yako.
Soma Zaidi...