Sababu za uvimbe kwenye matiti na dalili zake kiafya.
TATIZO LA UVIMBE KWENYE MATITI (MAZIWA)
Katika hali ya kawaida vimbe nyingi kwenye matiti hazina athari kubwa za kiafya na huondoka zenyewe. Hata hivyo zipo ambazo zinachelewa kuondoka ama haziondoki kabisa. Vimbe hiz huweza kusababishwa na mabo mengi. Lakini zipo chache husababishwa na saratani. Vimbe kwenye matiti mara nyingi si zenye kusababisha maumivu ama kutokwa na majimaji ama maziwa ama damu kwenye chuchu. Je unasumbuliwa na uvimbe wa kwenye matiti, makala hii ni kwa ajili yako.
Sababu za uvimbe kwenye matiti
1.Matiti kujaa majimaji kwenye vijishimo vidigovidogo vilivyomo ndani ya titi
2.Vijitundu vidogovidogo ndani ya titi kujaa maziwa (hutokea wakati wa kunyonyesha)
3.Tishu za kwenye ziwa kuwa kama linyama
4.Majeraha
5.Kuwa na infection (mashambulizi ya bakteria) kwenye titi
6.Saratani ya ziwa
7.Kuota kwa vijinyama kama chunjuwa kwenye mrija wa maziwa
Muda wa kumuona Daktari
Kama ulivyosoma hapo juu kuwa uvimbe wa titi unaweza kuondoka wenyewe bila hata ya kuhitaji dawa. Lakini hutokea ikahitaji kumuona daktari endapo:-
1.Umeingezeka mwingine
2.Uvimbe haukuondoka hata baada ya kupata hedhi
3.Uvimbe unazidi kuwa mkubwa
4.Ziwa limeanza kuonyesha michubuko
5.Ngozi ya ziwa kubadilika rangi
6.Maumbile ya chuchu kubadilika
7.Chuchu kuanza kutoa damu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Haya maji meupe hutokea wakat mimba ishatungwa au ukifanya tendo la ndoa lazima utokee?
Majimaji yanayitoka kwenye uke yanafungamana na taarifa nyingi kuhusu afya vya mwanamke. Ujauzito, maradhi, mabadiliko ya homoni na zaidi.
Soma Zaidi...Njia za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha.
Posti inahusu zaidi njia maalum za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha,Ni njia za uzazi ambazo wanaonyesha wanatumia kwa sababu kuna njia nyingine zikitumiwa na wanaonyonyesha zinaweza kuleta matatizo kwa watoto au kusababisha maziwa kutokuwa na vitamini v
Soma Zaidi...Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada vya uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.
Soma Zaidi...Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14
Soma Zaidi...Dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Soma Zaidi...Samahani nilikua naomba niulize swali mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii
Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...