SURA ZA KUJIKINGA NA UCHAWI NA MASHETANI


image


Post hii itakwenda kukufundisha sura katika Quran ambazo ni kinga dhidi ya Wachawi, uchawi na Masheitwani.


Mtume s.a.w amefundisha tusome sura hizikwa ajili ya kujikinga na mashetani,  wachawi na husda. 

1. Qul audhu birabi n nas.  Hii ni surat an-Nas.  Ni sura ya 114 katika mpangilio wa Quran kutokea al Baqarah. 

 

2. Qul audhu birabil falaq.  Hii ni surat al Falaq.  Ni sura ya 113 katika mpangilio wa msahafu kutoka sura ya kwanza kiuandishi. 

 

Sura mbili hizi kwa pamoja hujulikana kama almu'awidhatayn.  Mtune s.a.w alizisoma sura hizi aliporogwa na akapona hapohapo. Na hii ni baada ya kuamrishwa na Allah azisome.  Sura hizi utazisomamara tatu. 

 

3. Qul huwa Llahu Ahad.  Hii ni surat al Ikhlas.  Ni sura ya 112 katikamangilio wa Quran kiuandishi.  Sura hii pamoja na zikizotajwa hapo juu utasoma mara tatu. 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Sura za kujikinga na Uchawi na mashetani
Post hii itakwenda kukufundisha sura katika Quran ambazo ni kinga dhidi ya Wachawi, uchawi na Masheitwani. Soma Zaidi...