swali langu nikwamba Mimi nimeolewa make wa pili nimeishi ndaniya ndoa miaka 22 mume akafikwa na mauti je ninahaki ya kupata mirathi?

Ni ipi haki ya mwanamke kwenye mirathi endapo atafiwa na mume wake, ilihali yeye ni mke wa pili?

' Swali: 

swali langu nikwamba Mimi nimeolewa make wa pili nimeishi ndaniya ndoa miaka 22 mume akafikwa na mauti je ninahaki ya kupata mirathi?'

 

'Jibu

'Katika uislamu mirathi ni haki ya wenye kurithi.  Na inatakiwa mirathivigawanywe haraka iwezekanapo baada ya kumaliza mazishi. 

 

' warithi wa marehemu ni pamoja na watoto,  wakr,  na wazazi wake yaani baba na mama. Endapo hawa watakosekana sheria itaangaliwa mpaka wapatikane wa kurithi. 

 

' Bila ya kujali marehemu ana watoto wangapi na wake wangapi. Kila mmoja anatakiwa apate hakivyake yavkurithi maadamvyupo kwenue sheria. 

 

' Hatavkama mke ameishi na mumewe kwa muda wa siku moja,  basi anatakiwa apate mirathi.  Mirathi pia itahusisha mtoto aliyeko tumboni yaani mimba. 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/15/Sunday - 02:01:27 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 596


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-