TAFSIRI NA MAFUNZO YA SURA ZILIZOCHAGULIWA - SARATUL-FIYL


image


Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)


6.2. Tafsiri na Mafunzo ya Sura Zilizochaguliwa.

  • Suratul-Fiyl (105): Imeteremshwa Makkah, Ina Aya Tano.

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu.

  1. Jee, huoni jinsi Mola wako alivyowafanya watu wa ndovu (tembo)?
  2. Jee, hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
  3. Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi.
  4. Wakawapiga kwa vijiwe vya udongo wa motoni.
  5. Akawafanya kama majani yaliyoliwa (na kutemwa).

 

Mafunzo kwa Ufupi.

  1. Mwenyezi Mungu (s.w) ni Muweza wa kila kitu.
  2. Viumbe vyote viko katika Milki ya Mwenyezi Mungu (s.w) na ni Majeshi yake yaliyotayari kumtumikia ipasavyo.
  3. Nusura na Msaada wa Mwenyezi Mungu (s.w) hupatikana muda wowote watu watakapomuamini na kumtegemea ipasavyo.
  4. Kuangamizwa kwa Abraha na jeshi lake na Jeshi asilolijua wala kulitegemea ni dalili ya Kuwepo Mwenyezi Mungu (s.w).



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Mfumo wa ulinzi na usalama katika fola ya uislamu madinah
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Haki za maadui katika vita (mateka wa kivita)
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mambo yanayodhaniwa kuwa yanaharibu funga lakini hayaharibu
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Tofauti kati ya zakat na sadaqat
Nguzo za Imani, tofauti kati ya sadaqat na zakat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Sunnah za funga ya ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mbinu walizotumia makafiri wa kiqureish katika kuupinga uislamu makkah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Matendo ya hijjah na umrah
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kwanini wengi wanaoswali hawafikii lengo la swala zao
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Suratul-takaathur (102) imeteremshwa makkah Ina aya nane
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Wenye ruhusa za kutofunga ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...