AINA ZA MADA YAANI KUVUTA KWENYE USOMAJI WA QURAN: MADD (Al-Maddul-Far-’iy), Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil, Maddul-Liyn,

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

AINA ZA MADA YAANI KUVUTA KWENYE USOMAJI WA QURAN: MADD (Al-Maddul-Far-'iy), Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil, Maddul-Liyn,

SURA YA 11
MADD (Al-Maddul-Far-'iy)

Al-Maddul-Far-'iy
' ' - Al-Maddul-Far-'iy
Madd ambayo hutegemea sababu nyengine ima iwe hamzah au sukuwn ili iweze kurefushwa kuvutwa kwake kuishinda ' ' (maddutw-twabiy'iy) na hiyo sababu ya nje. Imeitwa 'Al-Far-iy' (tawi) kwa sababu madd hizi sio za asili bali zimechipuka kutoka katika ' ' (maddutw-twabiy'iy) . ' ' Maddul-Far-'iy Hugawanyika sehemu mbili kutokana na sababu inayopelekea kuwa madd:
' Madd kutokana na hamzah
' ' ' . 1 Maddul-Waajib Al-Muttaswil
' ' ' . 2 Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil
' ' ' ' ' . 3 Maddusw-Swillatil-Kubraa

' Madd kutokana na sukuwn
' ' ' . 1 Maddul-'aaridhwi lis-sukuwn
' ' ' . 2 Maddul-liyn
' ' . 3 Maddul-laazim

Madd kutokana na hamzah:
' ' ' . 1 (Maddul-Waajib Al-Muttaswil) Na inaitwa 'Waajib' kwa kuwa Maqurraa wote wamekubaliana kuivuta zaidi kuliko ' ' (maddutw-twabiy'iy). Na inaitwa 'Muttaswil' kwa kuwepo hamzah na madd katika neno moja. Hukmu yake katika riwaayah ya Hafsw 'an 'Aaswim twariyq Ash-Shaatwibiyyah ni kuivuta ima kwa harakah nne au tano.
MADD


2 (Maddul-Jaaiz Al-Munfaswil) Ni kuwepo herufi ya madd mwisho wa neno, na kufuatiwa na hamzah katika mwanzo wa neno linaloifuatia. Huvutwa haraka nne mpaka tano.
MADD

Madd kutokana na sukuwn
' ' ' .. 1 Maddul-'aaridhw lis-sukuwn
Ni kuwepo baada ya herufi ya madd na baada yake sukuwn 'aaridhw kwa sababu ya kusimama. Hukmu yake kwa kila qiraa-ah inajuzu kuivuta katika hali tatu:
' Qaswr (kuifupisha) kama harakah mbili
' Tawasw-swutw (wastani) harakah nne
' Twuwl (kurefusha) harakah sita.
MADD


2 Maddul-Liyn
Hii ni madd ambayo ni tofauti na madd nyinginezo kwa sababu herufi zake ni tofauti kwani hizo zinajulikana ni 'herufi za madd' ( ' ' ' ) zinazonasibiana na i'raab katika herufi ya kabla yake. Ama hii inajulikana kuwa ni 'Harfulliyn'. Herufi za ' (liyn) ni herufi za ' au ' zinapokuwa saakin na kabla yake ni herufi iliyokuwa na fat-hah: 'Imeitwa ' (liyn) kwa sababu ya kutamkwa kwake kwa usahali (ulaini) bila ya taklifu.
' (liyn)Ni kuwepo baada ya herufi ya ' na baada yake sukuwn 'aaridhw kwa sababu ya kusimama. Hukmu yake ni kuvutwa harakah ima mbili au nne au sita kwa kila qiraaah

MADD
3 Maddul-Laazim
Ni kuwepo baada ya herufi ya madd herufi saakin yenye sukuwn ya asili ambayo inayothibiti wakati wa kusimama na kuunganisha. Maqurraa wamewafikiana katika kuivuta madd hii harakah sita. ' ' (maddullaazim) na huvutwa haraka 6 inagawanyika sehemu mbili:
I. ' Al-Kalimiyy (ya neno)
II. ' Al-Harfiyy (ya herufi)

I. ' Al-Kalimiyy (ya neno):
i. ' ' ' ' ' Al-Madd Al-Laazim Al-Kalimiyyi Al-Muthaqqal
Huitwa ' (ya neno) kwa vile inatokana na neno. Huitwa ' (iliyo nzito) itakapokuja baada ya herufi ya madd herufi yenye shaddah. Itambulike kuwa herufi yenye shaddah asili yake ni herufi mbili zinazofanana; ya kwanza huwa ni saakin na ya pili ni yenye i'raab, hivyo ikatokea idghaam.
MADD


ii. ' ' ' ' Al-Madd Al-Laazim Al-Kalimiyyi Al-Mukhaffaf
Huitwa ' (ya neno) kwa vile inatokana na neno. Huitwa ' (khafifu) itakapokuja baada ya herufi ya madd herufi saakin isiyo na shaddah kwa maana, hapatoeki idghaam. Katika riwaayah ya Hafsw 'an 'Aaswim hakuna isipokuwa mara mbili pekee katika neno moja tu nalo ni t'9!#u katika Swurat
Yuwnus aya 51 na 91

II. ' Al-Harfiyy: (ya neno)
' ' ' Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy ni madd inayopatikana katika herufi zilizokuja kwenye mwanzo wa Suwrah 29 za Qur-aan zinazoitwa:
' ' Al-Huruwf Al-Muqatw-twa'ah (Herufi zilizokatika) kwa maana zinatamkwa kama herufi za hijaaiyyah. Jumla ya herufi hizo ni 14 ambazo zimeundwa katika ibara kadhaa mojawapo ni: ' ' '
Baadhi ya hizi Al-Huruwf Al-Muqatw-twa'ah zimekariri zaidi ya mara moja na kuzifanya jumla kuwa ni ishirini na tisa:
Herufi hizi zimegawika sehemu nne:
' Isiyo na madd nayo ni ') ' ) Alif -haivutwi kabisa.
' Madd harakah mbili katika herufi za 1 ' '
' Madd haraka mbili au nne au sita katika herufi ya ') ' ) kwa kuwa inatekelezwa kwa ' ' (maddul-liyn)
' Madd harakah sita katika herufi za ' ' (' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ')
MADD

Imegawanyika katika sehemu mbili:
' ' ' ' -Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy Al-Muthaqqal na ' ' ' ' - Al-Madd Al-Laazim Al-Harfiyy Al-Mukhaffaf


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 225

Post zifazofanana:-

namna ya kutekeleza Funga za Sunnah pamoja na majukumu mengine
Soma Zaidi...

DARSA ZA QURAN
Soma Zaidi...

Nini sababu ya kuwashwa kwa njia ya mkojo kwa wanaume
Habari ya muda huu Dokata. Soma Zaidi...

Miujiza Kama Ushahidi wa Utume wa Nabii Musa(a.s)
Allah(s. Soma Zaidi...

tarekh 07
KUPASULIWA KWA KIFUA MTUMEWAKATI AKIWA MTOTO. Soma Zaidi...

dalili za mimba changa ndani ya wiki moja
Soma Zaidi...

Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu. Soma Zaidi...

DARSA ZA SWALA NA NMNA YA KUSWALI SWALA ZA SUNA NA FARAHDI, SHARTI NA NGUZO NA SUNA ZA SWALA
Soma Zaidi...

Hekima ya mke zaidi ya mmoja
Soma Zaidi...

Balanced diet
A balanced diet simply means a food that contains all food nutrients in the correct proportion. Soma Zaidi...

kitabu cha afya
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

KUAMINI SIKU YA MALIPO
Soma Zaidi...