Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
YALIYOMO
SURA YA 01 ................ Utangulizi
SURA YA 02................. Hukumu ya Basmala na Isti'adha
SURA YA 03................ Hukumu za Nun Sakna na tanwin
SURA YA 04..................Hukumu za Mim sakna na Tanwin
SURA YA 05..................Hukumu Za Idgham
SURA YA 06..................Hukumu za Qalqala
SURA YA 07..................Hukumu za Tafkhim na Tarqiq
SURA YA 08..................Hukumu za Idgham na idhwhar katika Mim
SURA YA 09..................Hukumu za Waqf na Ibtidaai
SURA YA 10..................Hukumu za Madd-Twabi'i
SURA YA 11..................Hukumu za Madd-Far'iy
Umeionaje Makala hii.. ?
Sura hii inazungumzia kuhusu hali ya Abulahab namke wake wakiwa kama Watu waovu. Ni moja katika sura ambazo zilishuka mwanzoni toka Mtume alipoamrishwa kulingana dini kwa uwazi.
Soma Zaidi...Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.
Soma Zaidi...Sura hii iliposhuka ilikuwa kama imekuja kuwasuta Wanafiki waliokuwa wakizungumzahabari za uongo kuhusu jeshi alilolituma Mtume wa Allah.
Soma Zaidi...Sura hii inaonya vikali tabia ya kusengenya na kusambaza habari za uongo. Wameonywa vikali wenye tabia ya kujisifu kwa mali, kukusanya mali bila ya kuitolea zaka.
Soma Zaidi...Kutokana na kuishi kwao Misr kwa muda mrefu, Mayahudi waliathiriwa na ibada za kishirikina za Wamisr.
Soma Zaidi...KUANGAMIZWA KWA JESHI LA TEMBOTukio la pili ni lile tukio la tembo, na ilikuwa hivi:- Kiongozi mmoja wa kiyemeni aliyetambulika kwa jina la Abrah aliona waarabu kutoka maeneo mbalimbali wanafunga misafara kuelekea Makkah kwa lengo la kwenda kuhiji.
Soma Zaidi...