POSti hii inahusu kwenye michezo na burudani.michezo ni kile kitu ambacho unakifanya kwa ajili ya kujifuraisha wewe mwenyewe.pia na watu waliokuzunguka.tukiangalia michezo anaweza kucheza mtu yeyeto yule kwa sababu michezo haina ubaguzi.
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA MICHEZO NA BURUDANI KATIKA JAMII.
2.michezo inatupatia kipato ,kutokana na hapo mwanzo tulivyosema michezo uweka bayana Kati ya watu wawili au zaidi .pia michezo inatupatia kipato katika jamii .tukiangalia hii inatokana na pale mfano tuangalie mpila unaochezwa au ligi juu ya tanzania ya wanawake na wanaume.pale mchezaji anapokuwa anaitumikia timu hio .kwahiyo tunaona kwamba michezo ni muhimu sana katika jamii.kutokana na hilo icho kipato wanachokipata kinakuwa kinazidi kuwashawishi watu wapende michezo na ili waweze na wenyewe kujipatia hicho kipato kupitia katika mpila.kwahiyo tunaona jinsi gani michezo ina faida.
3.michezo inatuweka sawa kiakili na kimwili.tukiangalia michezo uweka manitiki bola pale kwa watu wanapokuwa kwenye shughuli zao kuliko yule ambae apendi michezo kwa sababu akili yake inakuwa sio nyepesi kufumbua jambo.tofauti na yule anaefanya mazoezi .yeye anakuwa mwerewa sana asa asa inashauriwa pia mwanafunzi mdogo anapokuwa shuleni lazima apewe mda wa kucheza ili aweze kuweka akili yake vizuri.pia inamfanya mwanafunzi kuwa bora .mfano tukiangalia asubuhi mwanafunzi au mtu wa kawaida inabidi akimbie mchaka mchaka kwa ajili ya kuchangamsha viungo vyake vya mwili .michezo pia uleta burudani katika jamii hivyo ni muhimu kucheza mara kwa mara ili kudumisha afya ya mwili .mtu aliyezoea kucheza michezo hashambuliwi na magonjwa mara kwa mara.
4.pia michezo inatusaidia kujua mambo mbalimbali makubwa.kulingana na hii faida ya michezo kufanya tutambue au tujue mamb mengi.mfano umecheza mpila wa miguu .unaweza kutoka apa tanzania ukaenda nje ya nchi .kule utaenda kujifunza mambo mengi pia na kuona vitu ambavyo ni tofauti na uku mfano tukiangalia bahadhi ya wachezaji wanaokwenda nje ya nchi .kule wanajifunza mambo mengi sana ya kimichezo pia wanakuwa wanaiwakilisha bendera yetu ya tanzania kwamba kulebzulipotoka kuna vipaji vingi.ndo maana sahivi tunaona kwenye suara la mpila wetu limekuwa sana tofauti na uko nyuma .pia unakuwa umeiletea heshima nchini yako ya tanzania .kutoka na hilo pia michezo uweka undugu pale .tunapokuwa tunaona mataifa mengi kuja au kwenda kwa nchi nyingine ile inapelekea bahadhi ya kuongezeka kwabl pato la taifa nchini kwa hiyo tunaona umuhimu wa michezo katika jamii yetu .hivo hivo tunaona michezo kuna uwekezaji mwingi ambao umekuwa chachu ya vijana kuweza kupata fursa .tukiangalia apo mwanzo nilivyosema michezo unakifanya ujue kitu.tukiangalia mfano kuna bahadhi ya watu wamewekeza kwa ajili ya michezo.mfano tukiangalia apa tanzania kuna bahadhi ya team kama azam.imewekeza kwa vijana kwa ajili ya mpila .ambapo huwapa faida vijana .na kujiendeleza kimaisha .tunaona vipi hali ya michezo inakomboa watu hasa vijana katika taifa hili .pia ni washauri wazazi au walezi kuwapa watoto kipaumbele cha michezo sababu wana haki ya kucheza manyumbani kwao ata sehemu yeyeto ile katika jamii.
5.pia michezo inawaokoa watoto walio katika makundi mbalimbali.kama vile watu wanaotumia madawa ya kulevya ,watoto wa mitaani,.kama tulivyosema apo awali kwamba michezo ni elimu unafundishwa pia unabirudika.kutokana na hili uweza kuwakomboa watu hao walio katika hayo mazingira.maana itakuwa imeisaidia serikali kupunguza hatari za kuvunja amani katika sehemu.pia hao watu wanaweza kuchanganyikana na watu wenzao wapenda michezo ili na wenyewe waweze kuwa wanapenda michezo ili kuwakomboa eneo ilo.
ZIFUATAZO NI HATHARI ZA MICHEZO NA BURUDANI.
1.kulingana na hapo mwanzo tulivyoona apa tunangalia mojawapo ya athari za michezo.kwenye michezo kuna athari .kama kuumia bahadhi ya sehemu za mwili.hii tunaona mara kwa mara bahadhi ya watu kuwa katika hali ya michezo wanaumia.tukiangalia mfano kwenye mchezo wa mpila wa miguu.watu wanaumia pia wanapata ulemavu wa maisha ,.kwa hiyo mda mwingine michezo sio ya muhimu kucheza pale unapoona umepata majeraha .hii uweza kupelekea kuwa mlemavu .kwa hiyo watu wasiweze kucheza michezo ya atari ambayo haina faida katika jamii yetu.
2.michezo pia upelekea kifo.kutokana na hili kuwamba ni kweli michezo ni ajari kda wowote waweza kuumia na kupoteza maisha .mfano tukiangalia michezo ya atari kama hii ambapo ni atari kwa maisha ya mwanadamu kama vile, mchezo wa kuendesha vyombo vya moto,mchezo wa kuogelea,mchezo wa kuruka,na michezo mingineyo kutokana na hilo .hii michezo ina uathari kwa mwanadamu .tukiangalia kwa mwendesha gari asipokua makini na mchezo wake pale wanaweza kupata ajari kwa sababu kila siku tunaziona hajali ya gari na pikipiki pale wanapokuwa kwenye michezo yao .kwahiyo kama wewe ni mtu unapenda michezo jaribu kuangalia michezo ambayo utaweza kucheza.hii yote inatokana na watu kupoteza maisha kufanya michezo wasiiweza na michezo isiyokuwa ndani ya uwezo wao.kama mwanamichezo inakubidi ucheze michezo ambayo utaweza kudumu na kucheza ili uweze kupata furaha sio vifo na ajari .
3.uwepo wa ubaguzi .hii ni mojawapo ya athari kubwa za kimichezo na burudani .bahadhi ya michezo inakuwa inaleta ubaguzi .kama vile ubaguzi wa rangi.ubaguzi kama haujui mchezo flani lazima ubaguliwe.kutokana na hili nibshinikizo kubwa linalopelekea kuwepo kwa ubaguzi sana .tukiangalia katika michezo kama mpila wa miguu na mpila wa mikono ,kuna ubaguzi mwingi unafanyika inapelekea watu kutoelewana hii inakuwa pia ni athari kwa mwanamichezo tukiangalia nchi zingine uko .kuna viashiria vya ubaguzi wa rangi ambavyo sio vizuri kuwa jamii .katika michezo hivyo vitu havitakiwi inabidi vipigwe marufuku ili michezo uendelee kupendwaa na kufirahi kwa watu wote.
4.athari nyingine kuja kwa wageni .hii inapelekea pale mchezo wenu alafu anakuja mtu au watu kwenye huo mchezo.hii inawanyima sana nafasi wazawa wa eneo hilo .tukiangalia pale mwanzo tumesema michezo ni ajira pia inayoingiza kipato.kwenye mpila wa Pete au miguu .inakuwa inawanyima sana wazawa pale wanapokuwa wamekuja wageni kuja kwa ajili ya huo mchezo piaa hii inapelekea watu kutokuwa wanajiamini .tukiangalia katika maisha yetu mchezo inabidi watu wachanganyikane ila isiwape fursa wageni wenyewe ndo watawale mchezo na hii pia ni mojawapo ya athari za michezo katika jamii zetu husika.
5 .hivyo hivyo michezo inakosa maelewano.hii tunaona bahadhi ya viongozi mfano ikiwepo sehemu flani hivi imeshinda mchezo alafu upnlande mwingine hawajashinda hii inapelekea kutoelewana bahadhi ya watu na kupelekea uasama kutokea katika hio sehemu .pia na kuanza marumbano katika mchezo pia kutoelewana uko .kunasababisha mchezo kuharibika baada ya kuwa furaha ni ugomvi hio ni mojawapo ya athari ya michezo katika jamii yetu kwahio inatubidi tuwe tunapendana kutokana na michezo bali sio ugomvi.hii itafundisha vizuri watu na waendelee kupenda michezo na sio kuichukia .
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3616
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Kitabu cha Afya
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 kitabu cha Simulizi
simulizi za hadithi, burudani na riwaya za kusisimua zenye visa na mikasa mbalimbali
Hadithi za alif Lela U Lela kitabu cha kwanza Soma Zaidi...
uwanja wa burudani
Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho. Soma Zaidi...
Kitabu Cha Kiapo Cha Mfalme
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...
uwanja wa burudani
Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho. Soma Zaidi...
michezo
michezo ni katika mambo ambayo mtu anatakiwa asiyakose. Soma Zaidi...
VITABU VYA BURUDANI: CHEMSHABONGO, HADITHI, SIMULIZI, NA VICHEKESHO
Soma hadithi za burudani na mashairi, cheka na furahia zaidi katika hadithi zetu Soma Zaidi...
Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa
Kutokea kuitwa Sunderland mpaka Simba, timu hii ilianzishwa mwaka 1936 Soma Zaidi...
TAMBUA FAIDA NA ATHARI ZA MICHEZO
POSti hii inahusu kwenye michezo na burudani.michezo ni kile kitu ambacho unakifanya kwa ajili ya kujifuraisha wewe mwenyewe.pia na watu waliokuzunguka.tukiangalia michezo anaweza kucheza mtu yeyeto yule kwa sababu michezo haina ubaguzi. Soma Zaidi...
MASHAIRI
UWANJA WA MASHAIRI UWANJA WA ELIMU YA MASHAIRI Bofya link hapo chini kuanza kusoma 1. Soma Zaidi...