Fat-h Makkah (Kukombolewa Makkah).
- Mtume (s.a.w) aliandaa askari 10,000 mwezi 10 Ramadhani, 8 A.H (Januari 1, 630 A.D) kuelekea Makkah.
- Kukombolewa Makkah kulipelekea kusilimu Abu Sufyan na viongozi wengine wa Makka na kuwa kishawishi kusilimu watu na makabila mengi pia.
- Baada ya Fat-h Makka, waislamu waliyashinda makabila ya Waarabu yenye nguvu kama; Banu Thaqif na Banu Hawazin katika vita vya Hunain.
Rejea Qur’an (17:81).
- Dola ya Kiislamu chini ya uongozi wa Mtume (s.a.w) ilienea Bara Arab nzima na aliigawanya katika majimbo na kuteuwa Walii, Kadhi na Amil kama viongozi kwa kila jimbo.