Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.a.w)

Hija ya Kuaga na Kutawafu kwa Mtume (s.a.w).
- Ilikuwa mwaka wa 10 A.H alikwenda kuhiji na Waislamu zaidi ya 100,000 baada ya kutimia miaka 23 ya Utume.
Rejea Qur’an (5:3).- Mtume (s.a.w) mwezi 9 Dhul-Hija, 10 A.H akiwa Viwanja vya Arafa, alikhutubia waislamu akiwa juu ya ngamia.- Mtume (s.a.w) alianza kuugua miezi miwili baada ya Hija ya Kuaga na hatimaye alifariki jioni siku ya Jumatatu mwezi 12 Rabi’al-Awwal, 11 A.H.(Juni 8, 632 A.D.) akiwa na umri wa miaka 63.