Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kusinyaa kwa Misuli. Ni maradhi yanayopelekea uzalishwaji hafifu wa misuli, hivyo kupelekea misuli kukosa protini, kushunwa kukuwa na kusinyaa.
Dalili za udhaufu unaendelea wa misuli Ni pamoja na;
1.Kupata maumivu kwenye sehemu iliyokaza.
2.ngozi kuwa nyekundu.
3.kushindwa kugeuka au kutembea.
4.kukakamaa.
5.unaweza kupata ganzi.
MATATIZO
Shida za udhaifu unaoendelea wa misuli ni pamoja na:
1. Kutokuwa na uwezo wa kutembea. Baadhi ya watu wenye Ugonjwa wa Misuli hatimaye wanahitaji kutumia kiti cha magurudumu.
2. Kupungua kwa misuli.kwasababh ya udhaufu na uhafifu wa misuli pamoja na kusinyaa.
3. Matatizo ya kupumua. Udhaifu unaoendelea unaweza kuathiri misuli inayohusishwa na kupumua. Watu walio na uhafifu wa Misuli hatimaye wanaweza kuhitaji kutumia kifaa cha kusaidia kupumua (kipumuaji), mwanzoni usiku lakini ikiwezekana pia mchana.
4. Mgongo uliopinda (Scoliosis). Misuli iliyodhoofika inaweza kushindwa kushikilia mgongo sawa.
5. Matatizo ya moyo. Kusinyaa kwa misuli inaweza kupunguza ufanisi wa misuli ya moyo.
6. Matatizo ya kumeza. Ikiwa misuli inayohusika na kumeza itaathiriwa, matatizo ya lishe huenda ikatokea.
Mwisho; Tafuta ushauri wa kimatibabu ukigundua dalili za udhaifu wa misuli kama vile mlegevu kuongezeka na kuanguka ndani yako au mtoto wako.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu minyoo na athari zao kiafya
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, hali hii uwatokea sana wanawake zaidi ya wanaume, kwa kitaalamu hali hii ya kuwa na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo huitwa cystitis.
Soma Zaidi...Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI
Soma Zaidi...Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake
Soma Zaidi...Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.unasababishwa na virusi ambavyo hutokea kwa mtu mwingine kwa njia mbalimbali
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...