Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume, ni tatizo ambalo uwakumba baadhi ya wanaume kwa sababu mbalimbali na pia Ugonjwa huu unatibika hasa kwa wale wanaowahi kupata matibabu.
Tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume.
1. Kuwepo kwa Maambukizi ya magonjwa ya zinaa
Kwa wale wanaume ambao wanatumia ngono zembe yaani kujamiiana bila kutumia kondomu wanapatwa sana na Magonjwa haya kwa sababu pengine wanakuwa hawajapona na hawajui afya zao kwa hiyo hawawezi kujua kuwa ni nani mwenye shida hatimaye wanajikuta kwenye tatizo la kupatwa na tatizo hili.
2.Maginjwa ya zinaa ni kama vile Ugonjwa wa kisonono na kaswende, Tatizo la chlomydia, Tatizo la Trichomonous na kwa kiasi kidogo Maambukizi kwenye sehemu za siri ambayo kwa kitaalamu huitwa genital herpes na Magonjwa mengine ya zinaa.
3. Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo ambayo kwa kitaalamu huitwa UTI maana yake ni ( urinary trac infection, kama mwanaume ana ugonjwa huu na hajapima kugundua anawe kusababisha kuwepo kwa maji maji kwenye sehemu za siri.Kwa hiyo ni lazima kupima ili kuweza kutambua ni shida gani.
4. Pia kuna dawa ambazo zimependekezwa kutumika kwa watu wenye matatizo kama haya ya kutokwa majimaji kwenye sehemu za siri dawa hizi ni kama ifuatavyo Azithromycin, cefixine, ciproflaxino, Doxycycline na metronidazole na dawa hizi sio kuzitumia kiholela ila ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.
5.Kwa hiyo baada ya kuona chanzo cha tatizo la kutokwa damu kwenye sehemu za siri tunapaswa kuchukua vipimo haraka ili kujua chanzo ni nini na kuweza kupata matibabu kutoka kwa wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
Soma Zaidi...Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, ni tatizo ambalo utokea kwa baadhi ya wajawazito kupata mtoto mwenye Uzito mkubwa, wengine uona kama ni sifa ila Kuna madhara yanaweza kujitokeza kwa Mama hasa wakati wa kujif
Soma Zaidi...Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.
Soma Zaidi...Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za PID maana yake ni maambukizi kwenye pelvic kwa kitaalamu huitwa pelvic infection disease, ni ugonjwa unaoshambulia sana wanawake na wasichana
Soma Zaidi...