TATIZO LA TEZI KOO


image


Posti hii inahusu zaidi tatizo la tezi koo, ni tatizo ambalo uwapata watu mbalimbali ambapo Usababisha koo kuvimba na mgonjwa huwa na maumivu mbalimbali na pengine mgonjwa upata kikohozi kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye koo.


Tatizo la tezi kwenye koo.

1. Kama tulivyokwisha tangulia kusema kwamba tatizo hili uwapata watu mbalimbali, na hasa uwapata sana watu wanaoishi sehemu zenye mikusanyiko mbalimbali na kuna wataalam mbalimbali ambazo wameweza kutoa takwimu kwamba ugonjwa huu uwapata watu wa kwenye machimbo kwa sababu ya matumizi ya vyakula vya kwenye mifuko ya nailoni ila sio hawa tu na wengine wanaweza kupata kwa sababu zifuatazo.

 

2. Kuna sababu ambazo utokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ya virus, kwa kawaida tunafahamu kwamba ugonjwa ambao usababishwa na virus ni vigumu kupona inawezekana ugonjwa ukaisha wenyewe au kwa wakati mwingine tunatibu dalili kama vile homa , kikohozi na miwasho kwenye koo kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi.

 

3. Sababu nyingine ni pamoja na Maambukizi ya bakteria, kwa kawaida pengine kuvimba au Maambukizi kwenye koo usababishwa na kuwepo kwa Maambukizi ya bakteria, kwa kawaida kama Maambukizi yametokana na bakteria uponyaji ni rahisi kwa hiyo pamoja na kutibu dalili kama vile kutuliza homa, kutuliza maumivu, miwasho na kikohozi vile vile na antibiotics zinaweza kutumika na mtu akaomba kabisa na kuendelea na shughuli zake za kawaida.

 

4. Sababu nyingine ni pamoja na upungufu wa vitamini mbalimbali kwenye mwili.

Kwa kawaida tunafahamu matumizi ya vitamini kwenye mwili kwa hiyo kama vitamini vinakosa usababisha kuwepo kwa magonjwa kwenye koo, kwa hiyo ni vizuri kabisa kutumia mboga mboga za majani,matunda na matumizi ya mlo kamili kwa kufanya hivyo tunaweza kuepuka kuwepo kwa maambukizi kwenye koo.

 

5. Upungufu wa kinga mwilini.

Kwa kawaida watu wenye upungufu wa kinga mwilini ushambuliaji na magonjwa mbalimbali kwa hiyo ni vizuri kabisa kutumia vidonge au dawa ili kuweza kuongeza kinga na kuzuia magonjwa kama ya koo.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za saratani ya ini
Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini. Soma Zaidi...

image Matibabu ya maumivu chini ya kitovu
Post hii inahusu zaidi matibabu ya kutibu ugonjwa wa maumivu chini ya kitovu. Soma Zaidi...

image Ni bakteria gani husababisha ugonjwa wa pumu
Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa za Doxorubicin na Daunorubicin
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

image Dalili za UKIMWI na VVU kutoka mwanzoni mwa siku za mwanzo
Je na wewe ni katika wanaosumbuka sana kujuwa dalili za kwanza za ukimwi toka siku ya kwanza, ama dalili za ukimwi kwenye ulimi, ama unatakakujuwa ni muda gani ukimwi huonekana, na je ukishiriki ngono zembe ndio utapata ukimwi? Basi makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza hayo na mengineyo mengi kuhusu VVU na UKIMWI. Soma Zaidi...

image Njia za kusambaa kwa ugonjwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
Posti hii inahusu zaidi jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa uti wa mgongo, ni ugonjwa unaoshambulia sehemu inayofunika ubongo na pia sehemu ya spinal cord Soma Zaidi...

image Bawasili usababishwa na nini?
Posti hii inahusu zaidi visababishi vya ugonjwa wa Bawasili,kuna watu wengi wanapenda kujua kabisa chanzo cha kuwepo kwa ugonjwa wa Bawasili kwenye jamii na kuna maswali mengi yanayoulizwa kuhusu visababishi vya Bawasili. Soma Zaidi...

image Jinsi ya kujikinga na U.T.I inayijirudia rudia.
Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye. Soma Zaidi...

image Nna swali mimi nimefanya Romance na mtu ambaye sijampima kbsa sasa naogopa anaeza kuwa mgonjwa na mm nkaupata
Muulizaji anauliza he kula denda, ama kumbusu ama kufanya romance na muathirika was HIV na wewe uta ambukizwa? Soma Zaidi...