TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA

TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA

TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA

UTANGULIZI

"let food be thy medicine and medicine be thy food"

Haya ni maneno ya Kigiriki, kuhusu vyakula. maneno haya yanamaanisha "fanya chakula chako kiwe ni dawa na dawa yako iwe ni chakula chako. Maneno haya yanahamasisha 

matumizi ya vyakula kuwa ni dawa kwetu. Katika makala hii nitakwenda kukujuza baadhi tu ya vyakula na mboga ambazo ni dawa kwa maradhi yetu. Makala hii pia ipo kwenye kitabu chetu. Unaweza kukipata kitabu hiki bure kwenye maktaba yetu.

 

Makala hii i muendelezo wa makala zetu za afya kutoka kwenye kitabu cha matunda na mboga. Tunatarajia msomaji wetu utanufaika zaidi na makala hii.



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3277

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 ai web app     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Upungufu wa vitamin C mwilini

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula panzi, senene na kumbikumbi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi

Soma Zaidi...
Matunda yaliokuwa na vitamini C vingi

Hii ni orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi sana ikiwemo machungwa, mapera na mapapai

Soma Zaidi...
Maji pia yanawezakuwa dawa kwa akili

Umeshawahi kuumwa na dawa yako ikawa maji? Huwenda bado basi hapa nitakujuza kidogo tu, juu ya jambo hili.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula mihogo

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo

Soma Zaidi...