Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa

Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa

Kutokea kuitwa Sunderland mpaka Simba, timu hii ilianzishwa mwaka 1936

Timu ya Simba ilizaliwa mwaka 1936 na ilishawahi kuitwa Queen kisha ikaitwa Eagles kisha ikaitwa Sundeeland. 

 

Mwaka 1971 timu hii ilipewa jina la Simba,  ambalo ni neno la kiswahili lenye maana ya Lion yaani Simba wa porini. 

 

Mwaka 2022 ilikuwa ndio timu iliyoonyesha wanachama kwenye mtandao wa Instagram kwa haraka zaidi ya timu zote kwa asilimia 89 ukilinganisha na mwaka uliotangulia. 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Zaidi Main: Post File: Download PDF Views: 1989

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 ai web app     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

uwanja wa burudani

Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.

Soma Zaidi...
Kwa nini watu wanadhani kuwa Ronaldo Nazario ndie mchezaji bora wa muda wote?

Wakati wengi wakiangazia uimara wa muda mrefu wa wachezaji wa zama za sasa (kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo), R9 anabaki kwenye mioyo ya mashabiki wengi kama mtu aliyevuka viwango vya kawaida vya kipaji.

Soma Zaidi...
MASHAIRI

UWANJA WA MASHAIRI              UWANJA WA ELIMU YA MASHAIRI Bofya link hapo chini kuanza kusoma 1.

Soma Zaidi...
uwanja wa burudani

Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.

Soma Zaidi...