image

Tofauti kati ya hijjah na umrah

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Na.

Hijjah

Umrah

1.

Hijjah ni faradh kwa muislamu mwenye uwezo mara moja kwa maisha yake yote.

Umrah ni Sunnah iliyokokotezwa.

2.

Hijjah ina muda maalum, hufanywa katika mwezi na siku maalum.

Umrah haina muda maalum, hufanywa mwezi na siku yeyote.

3.

Hijjah huchukua muda mrefu na hufanyikia ndani na nje ya Makka – Muzdalifa, Arafa na Mina.

Umrah huchukua muda mfupi na hufanyikia ndani ya Makka kwa Kutufu, Kusai na Kunyoa tu.

4.

Ibada ya Hijjah ina matendo mengi

Ibada ya Umrah ina matendo machache.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3003


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Misingi na Maadili Katika Uislamu
5. Soma Zaidi...

JIFUNZE FIQH
Fahamu darsa mbalimbali za fiqh kama swala, twahara, zaka pamoja na funga. Zijuwe sharti za swala, funga na zaka. Soma Zaidi...

Ufumbuzi wa tatizo la riba.
Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba. Soma Zaidi...

sadaka
Soma Zaidi...

Hili ndilo hasa lengo la kuamrishwa kufunga
Soma Zaidi...

Matendo ya hijjah na umrah
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

malezi ya mtoto mchanga baada ya talaka
Soma Zaidi...

Wanaostahiki kupewa zakat
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Mambo yenye kufunguza swaumu (funga)
Soma Zaidi...

Mambo gani ni Haramu kwa mwenye janaba?
Hadathi ya kati na kati (Janaba). Soma Zaidi...

kwa nini riba ni haramu?
Soma Zaidi...

NI LIPI HASA LENGO LA KUFARADHISHWA SWALA ZA FARADHI NA KUWEPO KWA SWALA ZA SUNNAH (SUNA)
Lengo la Kusimamisha SwalaBila shaka swala imepewa umuhimu mkubwa kiasi cha kufanywa nguzo kubwa ya Uislamu kutokana na lengo lake. Soma Zaidi...