image

Tofauti za ute kwa mwanamke

Posti hii inahusu zaidi tofauti mbalimbali za uke, kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo mbalimbali kwenye mwili wa binadamu kuna tofauti mbalimbali za ute kutegemea na hali iliyopo.

Tofauti za ute kwa Mama .

1.  Kuwepo kwa uke mweupe.

Kuna kipindi Ute unakuwa mweupe kwa akina Mama au akina dada huu ni Ute wa kawaida kabisa kutoka kwa akina Mama kwa sababu ya kutokuwepo kwa magonjwa au shida yoyote kwa hiyo akina dada au mama wakiona Ute mweupe ni Ute wa kawaida tu na ni vizuri kabisa.

 

 

 

 

 

2. Kuwepo kwa Ute wa maji maji na unatekeleza.

Kwa kawaida kuna kipindi Ute unakuwepo wa maji maji na unatekeleza ni dalili nzuri kabisa ya kuwepo utayari wa kubeba mimba, hasa kwa wale wenye tabia ya kutumia uzazi wa mpango kwa kutumia Ute wakiona Ute ni wa maji maji wanapaswa kutoshiriki tendo kwani ni rahisi kubeba mimba, na wakiona Ute ni mzito mimba haiwezi kupita kwa sababu Ute ule hairuhusu mbegu kupita.

 

 

 

 

 

3. Kuwepo kwa Ute wa njano.

Kuna kipindi mama au akina dada wanakuwa na Ute wa njano hii ni Dalili ya kuwepo kwa bakteria kwenye uke au sehemu za via vya uzazi ambazo Usababisha kuonekana kwa Ute na jinsi ulivyo , kwa hiyo bakteria hawa inawezekana ni wale wanaosababisha kuwepo kwa kaswende, kisonono na magonjwa mengine kama hayo ambayo Usababisha uke kuwa wa njano.

 

 

 

 

 

 

4. Kuwepo kwa Ute wa kahawia.

Kuna wakati mwingine kunakuwepo na Ute aina ya kahawia hii ni Dalili mojawapo ya kuwa mama au dada amemaliza hedhi,kwa sababu ya kuwepo kwa homoni mbalimbali ambazo usaidia katika shughuli zote za hedhi na kufanya hali kuwa ya kawaida usababisha Ute juwa wa kahawia, kwa hiyo ni vizuri kabisa kutambua haina hii ya Ute.

 

 

 

 

 

5. Kwa hiyo akina mama wanapaswa kuwa makini katika kuangalia aina za ute na kuweza kutambua kuwa ni viashiria gani kama ni Ugonjwa ni vizuri kabisa kutibu na kama ni wakati wa kubeba mimba ndio wakati wa fursa na kama Ute ni mwepesi na mtu hana mpango wa kubeba mimba ni kuacha kujamiiana kwa wakati huo.kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha usalama wako wa afya kwa kuangalia ute.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1954


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Samahani nilikua naomba niulize swali mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii
Kama na wewe unasumbuliwa na hali ya kupitiliza siku zako post hii itakusaidia. Soma Zaidi...

Jinsi ya kushusha homoni za kiume.
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada. Soma Zaidi...

Mimi naumwa na tumbo chini ya kitovu upande wa kulia, ninapotok kushiriki tendo la ndoa ndonapata maumivu zaid pia nawashwa sehemu za siri itakuwa shida ni nin?
Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa yanaweza kuwa ni dalili ya maradhi fulani, ama shida kwenye mfumo w uzazi. PID na UTI hutuhumiwa kuwa ni katika sababu hizo. Ila zipo nyingine nyingi tu. Kama ina hali hii vyema ukafika kituo cha afya Soma Zaidi...

Sababu za ugumba kwa wanawake
Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa wanawake, ni sababu ambazo upelekea wanawake wengi kuwa wagumba ukizingatia kuwa wanazaliwa wakiwa na uwezo kabisa wa kupata watoto lakini kwa sababu mbalimbali za kimazingira wanakoswa watoto, zifuatazo ni saba Soma Zaidi...

Upungufu wa homoni ya estrogen
Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni ya estrogen na dalili zake, aina hii ya homoni ikipungua mwilini uleta madhara na matatizo mbalimbali kwenye mwili. Soma Zaidi...

Dalili za mimba changa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba changa Soma Zaidi...

Dalili 10 za kukaribia kujifungua pamoja na uchungu wa kujifungua
Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba. Soma Zaidi...

Nikiwa katika siku zangu siumwi ila tatizo Ni kwamba najisikia kichefu chefu
Soma Zaidi...

Dawa hatari kwa mwenye ujauzito
Hii ni orodha ya dawa ambazo hutumiwa sana na watu kutoka maduka ya dawa lakini sio salama kwa wajawazito. Soma Zaidi...

UTI na ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI kwa wajawazito Soma Zaidi...

je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba?
Nina swali langu:-je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba? Soma Zaidi...

Unaweza kuhisi chochote ktk tumbo ukiwa na wiki mbili? Na je ukibonyeza tumbo utahisi chochote ukiwa ns wiki
Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto. Soma Zaidi...